kabisaWakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa?
Sure.kabisa
pia auze na spea mdogo mdogo,,,na mafuta ya kidebe......hatujui mu wapi.....
YAs, kuuza spare ndio itakayomlipa zaidi, hivyo akiwa na ufundi kufungafunga baadhi aaaah! Maisha anaendesha fresh tuHaulipi unless pesa ya mtaji iwepo afanye kwa ukubwa Zaid na uuzaji wa spare nje na hapo ni hela za supu tu
Mwamba hamna kazi isiyolipa,ni wewe yu kuipenda kazi,kuweka juhudi na kuongeza maarifa kwenye kazi yako.Wakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa?