Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Mungu ibariki Uganda kwa Leo tu
Kweli mkuu, na wa mikeka tusiwasahau kwwnye maombiCape Verde nao wanataka kwenda tuombe kila mmoja Mungu ambariki kulingana na mahitaji yake.
Kweli mkuu, na wa mikeka tusiwasahau kwwnye maombi
Ila inabidi kesho tushinde aisee regardless ya matokeo ya leo..
Ndiyo hapo tunapokosea kumhusisha mungu kwenye mpira!...haya mataifa yoteni ya mungu sasa ataisaidiaje Uganda na mmeambiwa mungu hana upendeleo!!...chezeni mpira!!Mungu ibariki Uganda kwa Leo tu