Je, ugoni ni kosa la jinai ?

Ndio ni kosa

kisheria ugoni sio kosa la jinai ila jinai itakuja pale tu matokeo ya hilo fumanizi kwa sababu baada tu ya kumfumania mgoni he/she may react inapofikia hapo uvunjifi wa amani utokea ila kama hakuna fujo au uvunjifu wowote wa amani na aliyefumania akaenda mahakamani itakuwa ni civi case
 
sioi mpaka vifungu vya sharia vibadilishwe tena ingekuw vzur ukimfumania mwenzi wako unaweza kuomba talaka ya bila kugawana vitu mlivy vichuma kungekwa na uoga flan hv wa kuanza moja

oa ndugu yangu kwa namna moja au nyingine umelindwa wenyewe, adultry ni ground tosha ya kuomba taraka, na kwenye mali kuna kifungu kinasema "you can not beneft from your own wreck"
 
Ugoni kwa sheria ya ndoa ni kosa la madai ambapo court inamlipisha aliyefumaniwa kwa kuangalia hadhi yake ktk jamii yule uliyemchukulia mke, inaweza kuangaliwa hata mahali uliyemuolea na vitu vingine ambavyo court itaona inafaa ila kesi hz mara nyingi zinamalizwa kimyakimya kwsb ya aibu yake lkn ni kesi ngumu ikiwa aliyefumaniwa naye ana mke wkt yeye anapelekwa court kwa kosa la kufamaniwa na mke wa mtu naye mke wake aende kumfungulia kesi yule mwanamke kwa kosa la ugoni kwa mme wake kwa ushahidi uleule!!!! chacha!!!!!!!!!!
 
for what i know the tz sex act knowing that shez married and you convince her or make her believe that you are another man and you sleep with her, that is considered as rape
 
Adutary kwa tanganyika sio kosa,ila kwa zanzibar ni kosa la jinai...
 
Sheria wapingwe mawe mpaka kufa tena hadharani ( mchana kweupe )
 
Hata kama sio criminal offence ila ni morally wrong, na ukikutwa mkuu unaweza hata kuuawa!
Kwa hiyo wake za watu sio vizuri kunyemelewa hata kama sheria iko silent!!

Na huyu aliyeua mtu kwa sababu ya ugoni naye sheria inasemaje au nayo inakaa kimya?
 
Na huyu aliyeua mtu kwa sababu ya ugoni naye sheria inasemaje au nayo inakaa kimya?
Ukiua kwa sababu ya ugoni utashitakiwa kwa kosa la mauaji kama muuaji mwingine yeyote tu..
 
Kwa sheria hizi za madai ndio maana watu wanaamua kumaliza kimjini mjini tu
Ukifaniwa watu wanakula kiboga na mapicha meengi
 
Hiyo ndiyo haswaaa, ila unaweza kushtakiwa kwa civil suit.
 
Halafu wakimfumania mtu wanafanyaje?

wakikufumania wanakupga picha nyingi na wanakutoa magazetini labda atoe mpunga. wengine dili za mjini akichukua demu akaenda nae guest jamaa wanavamia na kujifanya umechukua demu/mke wao wanataka fidia otherwise wanakula kiboga na picha kibao wanachukua
 
ni kosa la kisheria endapo mwanamke aliyefumaniwa yuko katika ndoa ni kosa kwa mujibu wa sheria
 
Ni kosa gani kisheria?gscan. Labda ukitupa na vifungu itasaidia zaidi. Kama walivyosema wadau wengine sio kosa la jinai ila mtu anaweza kukufungulia kosa la madai umlipe
 
Binadamu tumefika pabaya sana haya mambo tuyasikie tu yasikutokee.
 
Lakini mimi navyojua ugoni halipaswi kuwa kosa la jinai maana adultery is a less serious offense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…