Je ugonjwa wa pumu unapona?

Hilo tatizo liko damuni. Hurithiwa.ukigusa manyinya ya wanyama kama mbwa na paka au kunusa marashi makali au vumbi ngozi hututumuka.
Piga 0713 039 875 Dr Mussa kwa matibabu

Pumu yake sio ya ngozi
Yeye ni ya mfumo wa upumuaji
 
Yeah. Mwambie ameze dawa za Atovastartin kwa muda we miezi mitatu mfululizo. Kuna uwezekano mkubwa, akapata nafuu.
 
Nilizaliwa na pumu, wakati wa utoto wingu likiwepo Mimi kifua kinabana.
Nilipewa dawa nyingi ikiwemo mafuta ya Simba, majani nilikuwa navuta Kama sigara lakini baadae pumu ilipotea .
Mpaka Sasa sijui ni dawa gani iliniponya na huu ugonjwa ulikuwa ni wa kurithi.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri
Wadau ninahitaji kufahamu kama ugonjwa huu unapona, nina ndugu yangu anasumbuliwa sana.
Mkuu pole sana kw ahuyo ndugu yako anaye sumbuliwa na amradhi ya pumu dawa ya kuponyesha maradhi ya pumu ukitaka tutafute kwa wakati wako ili tupate kukutibia maradhi yako uguwa pole.
 
angalia ugonjwa hujiludia kipindi cha uzee
 
Unapona vizuri kabisa Inshallah.

Tafuta (Mullen) mmea unaosifika duniani Kwa maswala ya pumu nao ni Mullen
Hii ni dawa inayosafisha mapafu na mfumo wa upumuaji Kwa ujumla.
Imetumia miaka mingi huko ULaya marekani na Asia .
Una sifa ya expectorant ambayo ni kutoa makohozi mucus inayoziba ktk mfumo wa upumuaji
Matumizi yake ni chai yake au matone kama una tincture au kutengeza joint kama ya wavuta tumbaku na kuvuta kama sigara Ili dawa kuingia vizuri na nzuri Kwa wale waliowahi kuwa wavuta sigara baada ya kuquit au magonjwa ya mapafu na upumuaji.
Hii dawa pia ni best Kwa watu wenye Tuberculosis TB .
 

Mkuu naomba unifahamishe nawezaje kuupata huu mmea nina ndugu yangu ni mwenye kusumbuliwa sana na pumu.
 
Mkuu naomba unifahamishe nawezaje kuupata huu mmea nina ndugu yangu ni mwenye kusumbuliwa sana na pumu.
Huu mmea kaulizie kariakoo ukiwa na picha lakini wajanja wanaweza kukupa dawa na kukwambia ndio kumbe sio au google search picture zaidi na ulizia wataalamu wa mimea kwani huota kama magugu ila ni dawa hatari.
Kwa Sasa Niko South Africa na huku Kuna pharmacy za herbs hivyo inapatikana ktk hayo maduka.
Au nicheki pm tuone kama namna unaweza kuipata
 

Attachments

  • IMG_20230917_171755.jpg
    64.8 KB · Views: 3

Sawa shukrani mkuu ngoja mengine tuyajenge pm tu tusiharibu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…