Je, ugonjwa wa typhoid huenezwa kwa njia ya kujamiiana?

Wakuu nilipata homa nikapima nikakutwa na tyfoid, nilivoanza kupona mara homa ikajirudi tena, je inaweza kuwa na mke wangu ana ugonjwa huo pia? Na kunisababisha kurudi Kwa homa ya tyfoid kama ilivyo Kwa UTI?
Mkuu typhoid n inasabishwa na kunywa maji machafu pia na kachumbar ambayo n kbchi unaitaji kuacha ulaji kwa wng kachumbar
 
Na kunisababisha kurudi Kwa homa ya tyfoid kama ilivyo Kwa UTI?
Umekua inzi unakula mavi typhoid maana yake unakula kiwango kikubwa sana cha mavi labda itakua unamnyonya sana mkeo sehemu ya haja kubwa punguza kufanya hivyo bila hivyo typhoid haitoisha au mwambie mkeo chakula anachopika asikuwekee mavi mengi yanakuletea typhoid
 
Wakuu nilipata homa nikapima nikakutwa na tyfoid, nilivoanza kupona mara homa ikajirudi tena, je inaweza kuwa na mke wangu ana ugonjwa huo pia? Na kunisababisha kurudi Kwa homa ya tyfoid kama ilivyo Kwa UTI?
Typhoid ni gastrointestinal....UTI ni urinary tract infections not STI sexually Transmitted disease..... UTI may cause STI pathogens invade easily.
 
Inawezekana mkeo anayo au sehemu unayokula kila siku, ila haiambukizwi kingono.
 
Wakuu nilipata homa nikapima nikakutwa na tyfoid, nilivoanza kupona mara homa ikajirudi tena, je inaweza kuwa na mke wangu ana ugonjwa huo pia? Na kunisababisha kurudi Kwa homa ya tyfoid kama ilivyo Kwa UTI?
Kama mnanyonyana vinyeo! Maana typhoid ni ugonjwa unaotokana na kula kinyesi kibichi
 
Umekua inzi unakula mavi typhoid maana yake unakula kiwango kikubwa sana cha mavi labda itakua unamnyonya sana mkeo sehemu ya haja kubwa punguza kufanya hivyo bila hivyo typhoid haitoisha au mwambie mkeo chakula anachopika asikuwekee mavi mengi yanakuletea typhoid
Mnachanganya na kipindupindu
 
kwa akili hizi lazima utakuwa mfuasi wa FAM

yawezekana hukumaliza dozi ama ulikula vyakula vyenye majimaji ya yenye vimelea vya homa ya matumbo
 
Back
Top Bottom