Je Ugoro ni Mihadarati

Je Ugoro ni Mihadarati

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Habari wadau;
Naona vijana wengi sana wanatumia Ugoro,tena vijana wanaaonekana watulivu wanakula sana ugora mpaka inaanza kunipa tatizo

Swali:Je Ugoro ni mihadarati?na hivi unatokana na nini?

Tujadili
 
Bwimbwi ni shida lina madhara makubwa sana ila vijana wetu ndo wamegeukia huko.!
 
May grandpa katumia ugoro kwa miaka 55 na akafa kwa maleria,Hivi vitu vinanichanganya sana
 
Ukiunusa utapiga chafya mpaka mapafu yanatoka
 
Back
Top Bottom