ubongokid JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 2,154 Reaction score 4,184 Jan 12, 2018 #1 Habari wadau; Naona vijana wengi sana wanatumia Ugoro,tena vijana wanaaonekana watulivu wanakula sana ugora mpaka inaanza kunipa tatizo Swali:Je Ugoro ni mihadarati?na hivi unatokana na nini? Tujadili
Habari wadau; Naona vijana wengi sana wanatumia Ugoro,tena vijana wanaaonekana watulivu wanakula sana ugora mpaka inaanza kunipa tatizo Swali:Je Ugoro ni mihadarati?na hivi unatokana na nini? Tujadili
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,959 Reaction score 24,935 Jan 12, 2018 #2 Kwanza wewe jibu lako ni lipi?
Nejad Rocket JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 298 Reaction score 197 Jan 12, 2018 #3 Ngisugi
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jan 12, 2018 #4 Ugarit ni zao la tumbaku
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,638 Jan 12, 2018 #5 Nejad Rocket said: Ngisugi Click to expand... Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno
Nejad Rocket said: Ngisugi Click to expand... Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,106 Reaction score 8,043 Jan 12, 2018 #6 adden said: Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno Click to expand... Ongezea na "DONGO'
adden said: Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno Click to expand... Ongezea na "DONGO'
Nejad Rocket JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 298 Reaction score 197 Jan 12, 2018 #7 adden said: Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno Click to expand... Unalegeza mdomo unakuwa kama mdomo wa punda
adden said: Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno Click to expand... Unalegeza mdomo unakuwa kama mdomo wa punda
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 Jan 12, 2018 #8 Bwimbwi ni shida lina madhara makubwa sana ila vijana wetu ndo wamegeukia huko.!
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,277 Reaction score 8,860 Jan 12, 2018 #9 May grandpa katumia ugoro kwa miaka 55 na akafa kwa maleria,Hivi vitu vinanichanganya sana
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Jan 12, 2018 #10 Ukiunusa utapiga chafya mpaka mapafu yanatoka
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jan 14, 2018 #11 Connnnor atuambie Cc Smart911