Je, uhafidhina ni uungwana?

Je, uhafidhina ni uungwana?

Mzalendo120

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
2,410
Wanajukwaa hongereni kwa kupamhania kombe kila iitwapo leo
Lengo la uzi huu nikukemea mambo ysiyo yakiungwana katika jamii yetu.

WEKENI MAMBO YASIYO YA KIUNGWANA HAPA TUYAKEMEE

Kumekuwepo na watu ambao wanajiona wao ndio wamejipa hatimiliki ya hii nchi ambao hawataki mabadiliko almaarufu WAHAFIDHINA.

Enyi wahafidhina msiotaka mabadiliko katika Tanzania yetu ninani aliyewaroga?

Je, uhafidhina sio tabia ya ubinafsi uliokomaa kwamba hubadiliki na hupokei ushauri wa mtu kutoka upande wa pili?

Wahafidhina nawauliza. Je, huo niuungwana? Laahasha huo sio uungwana acheni hiyo kitu.
 
Si uungwana kusimama ghafla kwenye zebra kupisha waenda miguu ili mwenzio wa line ya pili aliyekwenye mwendo akamatwe na askari.

Pia si ungwana kusimama ghafla kwenye zebra bila kukadiria mwendo wa gari ya nyuma sababu gari inayokuja nyuma rahisi kukugonga kisa mvuka kwa miguu kwenye zebra.
 
Back
Top Bottom