Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo la Msingi lazima ujue nini maana ya uhuru Na Dunia ilikuwa inatambuaje Uhuru kwa kipindi hicho ,ni Kama South Africa wao walikuwa washapata Uhuru 1934 lakini ule Uhuru ulikuwa ni wamakaburu sio wa Watu Africa yaani ni Black people (watu Weusi ) Zanzibar walipata Uhuru Mwaka 1963 kutoka katika Coloni la Mwingereza .Lakini Nchi hii ilikuwa Chini ya utawala wa Kislutani ambao sio Asili ya Zanzibar kama ilivyokuwa Kule South Africa .Mapinduzi ndiyo yalifanya Serikali ya Wazanzibar wenyewe kuiunda ambapo Mwanzo ilikuwa Serikali ya Kislutani.
Kama title inavyojieleza,wanahistoria tunakanganyika sana juu ya suala hili,mohammed shamte ndio muasisi wa zanzibar huru au A karume??karibuni historians
Leo tarehe 12 January ni Sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar, nachukua nafasi hii kuwatakia nyote heri na fanaka za Mapinduzi na kukutakieni maadhimisho mema ya sherehe ya kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa watakao shereheka kwa wale wenye kumbukumbu njema, na kwa vile Mapinduzi Matukufu yale pia yaliandamana na umwagaji damu, natoa pole kwa wenye kumbukumbu chungu.
P

Ni vyema ukafika Songea siku moja Paschal, pia ni vyema kuhifadhi Historia ya wana wa AfrikaNimeisikiza hiyo video, asante kwa video ya historia ya vita vya majimaji. Skuyajua haya, ndo nimeyajua leo.
P
Zanzibar ilipata uhuru 10/12/1963,hayo mengine ni mavamizi.Baada ya uhuru huo,Zanzibar akaomba na kupewa uanachama ya UN.Ufafanuzi toka GT wa JF. Baada ya mapinduzi ya 1963 Zanzibar iliendelea kuwa huru?
1. Nani mkuu wa majeshi kwa sasa nchini Zanzibar?
3. nani Waziri wao wa mambo ya ndani kwa sasa?
4. Nitajie balozi mmoja anaeiwakilisha nchi ya Zanzibar nje ya nchi.