Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Nauliza hivi kwa maana wao (Waingereza) ndiyo waliowaleta Wahindi Tanzania kutokea India/Pakistani, nakumbuka pia wakati wa Amini Uganda wengi wa Wahindi walikimbilia Uingereza, Kanada au Australia (English commonwealth).
Sasa je, Uingereza inawajibika na maisha ya Wahindi hapa Tanzania? Kwa maana hata Manji kakimbilia Kanada (English commonwealth).
Sasa je, Uingereza inawajibika na maisha ya Wahindi hapa Tanzania? Kwa maana hata Manji kakimbilia Kanada (English commonwealth).