Je, Ujasusi wa Nchi za Magharibi waweza kuwa moja ya ujasusi wakutisha zaidi ktk Karne ya sasa?

Je, Ujasusi wa Nchi za Magharibi waweza kuwa moja ya ujasusi wakutisha zaidi ktk Karne ya sasa?

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Igweeee wana Jamii. Naipongeza sana Jamii forum kuwa sehem ya kila mtu wasilisha mawazo na fikra yake pasipo vunja sheria za nchi na kimataifa.

Mimi leo nimependa kuchambuwa ujasusi wa Nchi za Magharibi ambao kwa sasa ndio Habari ya mjini.
Uwenda unajuwa ama ujuwi ila Kuna jambo lakutisha sana ktk ujasusi wa Nchi za Magharibi.

Nchi za Magharibi kwa miaka mingi sana tangu kuisha kwa vita ya pili ya dunia pamoja na kuanguka kwa taifa la Urusi nchi za Magharibi chini ya majasusi wake walionya nakuwataarifu mataifa ya ulaya kitisho cha Taifa la Urusi na yakwamba siku moja wasipojipanga watakuwa chakula cha Urusi.

Ktk hali yakutisha sana wakati German akihangaika kuingunisha Euro kiuchumi Mataifa ya Magharibi yalijikita ktk kusaidia mambo yakijasusi na intelligence.

Jambo ambalo Dunia walijiuliza na hawakupata majibu nipale UK walipo anzisha mchakato wakujitoa kwenye sarafu ya umoja wa ulaya wengi Bri exit waliona kama jambo lakushangaza na kuwaona UK kama wasaliti. Ila kwa sasa ina onyesha kabisa Mpango wa Bri exit ulipangwa na ukapangika ili kuiokoa sarafu ya GBP ambapo kwa ukanda wa ulaya ndio sarafu yenye nguvu sana.

Unaweza jiuliza kwa nn Mataifa ya Magharibi walikuwa nyuma ya tukio la Br exit na kwa Nini leo UK wanatembea kifuwa mbele while mataifa rafiki wakichechemea kiuchumi

Jambo la pili ni Nodsrim 2 project. Hii project ni moja ya project CIA aliwaambia German itakuwa na madhara makubwa kwa usalama wa Europe once itamalizika. Marekani alitumia kila aina ya ushawishi kuwataarifu umoja wa ulaya madhara makubwa ya hiyo Nodsrm 2.

Ikumbukwe kabla ya Nodsrm 2 Kuna Nodsrm 1 ambapo hili bomba linapita kwa urefu mkubwa ndani ya Taifa la Ukraine. Jambo ambalo CIA alicheka smart nikuhakikisha ulinzi na usalama wa Bomba while Urusi akilipa gharama ya kupita Bomba ndani ya Ukraine hii ilisaidia pale Urusi alitaka waadhibu wenzake kwa kupandisha bei basi alijikuta na wao wakipandishiwa gharama yakupitiaha Bomba nchi washirika jambo hili lilimfanya Urusi kushindwa wanyonya wenzake kwa kuwawekea gharama kubwa ya gas.

Utabiri wamajasusi wa Marekani umetimia na sasa nchi zote Bomba limepita baharini uwenda wakananza hujumu nodsrm 2 ili Russian apate hasara kubwa siku za mbeleni na ikiwezekana asisimame tena. Unaweza jiuliza anasema nn huyu?

Majasusi wa Nchi za Magharibi walishajuwa ipo siku Mrusi ataivaimia Ukraine na walijuwa Ukraine imekuwa kitisho kwake ktk kuitawala Europe mzima. Hivyo kuinyakuwa Ukraine ndio suluhisho pekee kwake kuitawala Europe. Kwakuliona Hilo majasusi walikuja na mipango kadhaa kuhakikisha wana stop harakati za Warussi kuleta vita tena.

Kiufupi kwa sasa hakuna asie juwa kichwa cha Putin ndio kinatafutwa maanawakikipata hapatakuwepo mtu wakisima pale Kremlin.

Marakwa mara mataifa wamekuwa wakisisitiza hii vita ni ya bwana Putin kwasababu hakuna mtu ndani ya Urusi kufanya haya mambo yakishamba na ndio maana mkuu wa intelligence wa Urusi alimshauri Putin asipende vitamin. Na akamwambia shida itakuwa kubwa zaidi ktk vita, bora diplomasia.

COVID 19 Sasa ni dhahiri shahiri Like gonjwa la COVID 19 ni moja ya mipango ya hatari yakijeshi kuisimamiamsha Dunia na kuidhoofisha Urusi ila ziadi ililenga kumaliza Putin kutokana na hali ya afya yake zipo tetesi CIA wana file la Mzee Putin na wamekuwa wakimpotezea wakijuwa siku zake zakuishi zinahesabika.
 
Igweeee wana Jamii. Naipongeza sana Jamii forum kuwa sehem ya kila mtu wasilisha mawazo na fikra yake pasipo vunja sheria za nchi na kimataifa.

Mimi leo nimependa kuchambuwa ujasusi wa Nchi za Magharibi ambao kwa sasa ndio Habari ya mjini.
Uwenda unajuwa ama ujuwi ila Kuna jambo lakutisha sana ktk ujasusi wa Nchi za Magharibi.
Teh teh teh...Wamagharibi hawa hawa ambao TISS yao yadukuliwa kizembe tu na vijana masharobaro wa kirusi! Acha masihara Mkuu....

Bora hata TISS ya Mama yetu Samia.

SmartSelect_20220930-193354_Chrome.jpg
 
kama brexit ni kigezo basi UK wamefeli sana leo hii pauni imeanguka dhidi ya dola ya marekani
 
Back
Top Bottom