Je, ujauzito wa mwezi mmoja unahesabika kama kiumbe?

Finest

Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
49
Reaction score
14
Habari wanaJF,

Nina swali linanitatiza. Je,mimba ya mwezi mmoja kinakua tayari ni kiumbe au ni nini?

Naomba jibu la kibaiolojia tafadhali!
 
Kua kwanza, acha kuwaza matusi bwana.

Hivi topic ya reproduction si inafundishwagwa std 6?
 
zikifika wiki 3 tu huyo ni kiumbe.
 
Ni kiumbe tayari

Kama sikosei hata heartbeat huwapogo....
 
Mmhhh mapigo ya moyo hakunaa Mkuu
Mkuu kasema mimba ya mwezi?
Heartbeat huanza wiki ya sita.... (kwa utrasound ya kudumbukiza huipata).....

Ila kwa huyu ya mwezi itakuwa nini? Embryo?
 
Kwa mtazamo wa Kiimani hicho ni kiumbe, bali katika sayansi hicho hakijawa kiumbe.
 
Kuna mauwaji ya halaiki yalisha fanyika hapa!
 
Habari wanaJF,

Nina swali linanitatiza. Je,mimba ya mwezi mmoja kinakua tayari ni kiumbe au ni nini?

Naomba jibu la kibaiolojia tafadhali!
Yes, fertilization tayari and therefore the rudiments of a bay to come are there
Habari wanaJF,

Nina swali linanitatiza. Je,mimba ya mwezi mmoja kinakua tayari ni kiumbe au ni nini?

Naomba jibu la kibaiolojia tafadhali!


Angalia picha hizo
 
mtoto huyo tena ana roho tayari! ubarikiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…