Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 798
- 1,871
Moja kwa moja kwenye mada, wengi wetu tukisikia jina la Tenko au tekno miles . Basi ni ukweli usiopingika moya kwa moya kama siyo moja kwa moja , kila mtu anajua kuwa huyo ni mkali toka pande za Nigeria . ambaye mbaka sasa ameshatamba na vibao kadha wa kadha kama vile " PANYA" , DAYANA bila kusahau kibao chake matata cha "DURO". Ambacho kilimtambulisha vyema kabisa karibia kila kona ya Africa na Dunia kwa namna fulani.
lakini hivi karibuni mkali huyu amekuwa kimya kidogo masikioni mwa mashabiki zake , vyanzo mbalimbali vya habari vinadai ukimya huo unatokana na matatizo ya koo ambayo mkali huyu anapitia na kusababisha asijiusishe sana na shughuli za uwimbaji kwa muda kidogo .
Sasa basi katika pitapita zangu kwenye mitandao hizi siku za karibuni , nimekutana na kazi za msanii mwingine wa mitindo ya Hip hop toka pande za Marekani . Huyu jamaa anaitwa "TENO " a. k.a SKULLO. Baada ya kusikiliza nyimbo zake kama vile , Sunshine ( inayobeba jina la album yake ), Venessa , Money in the pot na Sad truth , ambazo unaweza kuzisikila in spotify music au hata Facebook. Nikaona jamaa ni bonge la artist , sooner or later , ulimwengu wa burudani ya muziki utakubali kazi za jamaa na kumfanya awe miongoni mwa wanamuziki wakubwa sana Duniani .
Sasa basi ukiangalia jinsi majina yao yanavyofanana , lakini pia ukiangalia upande wa pili kuwa Tekno kwa sasa hajiusishi sana na shughuli za uimbaji kama ilivyo awali . Je ujio wa TENO unawezasababisha watu kulisahau jina la msanii TEKNO ?.
. mtanisamehe nimejarubu sana kuipandisha picha ya huyu msanii TENO lakini nimeshindwa.