nadhani litakuwa ni gari lako au umenunua kwa mtu binafsi
maana kama umenunua kwa routine exporters wa Japan au Dubai kwa mfano, wao wanajua hiyo ni standard procedure ya inspection certificate kabla ya ku export.
kwa Japan export inspection certificate ni kama $200 na inakuwa itemized kwenye bili ya gari ikiambatana na (exclusive of) CIF (bei ya gari, uchukuzi na bima).
sasa, kwa gharama za ziada ambazo utaingia kwa ku import gari pembeni ya CIF, hiyo $200 mbona cha mtoto, you got bigger fish to fry