Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Naweza nikaeleweka vibaya lkn sio nia yangu bandugu, swali langu ni kuhusu maneno haya mawili, mwanamke na mwanaume, hivi uke na ume uko wapi? Sura ndo hutambulisha vyote hivyo au Maumbile? Nitafafanua kama ikihitajika hivyo....
Viko katikati ya miguu!!!
Kama nimekosea jibu basi maelezo yako hayajitoshelezi....anza upya maana nahisi utakua ulitaka kumaanisha uanaume na uanamke!!
Uke sijui ila uume naweza nikaotea.
mmhhh Magulumangu
Hivi kweli hujui Uke na ume
uko wapi?? au ni unanitafuta
uchokozi tu hahahahahahah lol
kujibu hapo kwenye green
siku hizi kuna watu wanajibadilisha
kuwa wanaume na wengine kuwa wake
sasa sura mmmhhh hapana nimeitoa
( Homosexual )
Maumbilile na hii pia dahhhh
hivi nadhani umewahi ona au
sikia watu wanaobadilisha
gender, maumbile na vinginevyo
( Transsexual )
Naweza nikaeleweka vibaya lkn sio nia yangu bandugu, swali langu ni kuhusu maneno haya mawili, mwanamke na mwanaume, hivi uke na ume uko wapi? Sura ndo hutambulisha vyote hivyo au Maumbile? Nitafafanua kama ikihitajika hivyo....
Wewe ni mwanamke au mwanaume? Ukilijuwa hilo utajuwa tofauti iko wapi.
Uume wa mwanaume na uke wa mwanamke uko wapi?
a) Kimaumbile
b) Kitabia/kimaadili (kimwenendo)
Kauliza hivi, "Uume wa mwanaume uko wapi na uke wa mwanamke uko wapi?"
Acha na mimi niulize, Je kuna;
1) Uume wa mwanamke?
2) Uke wa mwanaume?
Kimaumbile hakuna ila kisifa upo, ndo maana mimi nikahisi amekusudia hiyo (b).
Hivyo nilivyomfahamu mtoa mada hakukusudia uke na uume ulipo kimaumbile bali ki sifa/mwenendo kutokana na asili ya jinsia zetu.
kama una dada aliejifungua mmulizzie kama alijifungulia kwenye sura yake alafu utapata jibu.....
Hujafikiria kama jukwaa linavyosema, Great thinkers...Umekurupuka...usinijibu kama wenzio wale wa kina mzee yusuph
Naweza nikaeleweka vibaya lkn sio nia yangu bandugu, swali langu ni kuhusu maneno haya mawili, mwanamke na mwanaume, hivi uke na ume uko wapi? Sura ndo hutambulisha vyote hivyo au Maumbile? Nitafafanua kama ikihitajika hivyo....
Khaaa! Unanshangaza? Jibu swali, wewe ni mwanamke au mwanamme? Kinachokushinda ni nini?
La Mzee Yusuph umekosea, linahusu nini kwenye mada? Au unaanza chokochoko? Nakuomba taadab na usintafute, soma jina. Kama huelewi maana yake ntakufunda.
Hapo kwenye bluu, angalia kwenye suruali sketi au skintight. Back to topic, uanamke ua uanamume ni maumbile na majukumu!