Je, ukiambiwa tuma CV unapaswa kutuma na vyeti?

Je, ukiambiwa tuma CV unapaswa kutuma na vyeti?

MBUZI MWENYE BUSARA

Senior Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
143
Reaction score
155
Habari wadau wa ajira,.

Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
 
Elewa swali na takwa la aliyekwambia.
Umeambiwa CV, tuma CV sababu iko na details za kutosha.

Elimu zako ziko pale, akitaka kujua uliscore vipi ataomba vyeti.
 
Tuma unachoambiwa utume.

Kutokea kwenye Cv ndipo mtu anaweza kuvutiwa na wewe au kutovutiwa na wewe. Akivutiwa na wewe atakwambia anahitaji ufanye nini kinachofuata.
 
Back
Top Bottom