MBUZI MWENYE BUSARA
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 143
- 155
Mbona kama jukwa uliongia sio penyewe[emoji51]Habari wadau wa ajira,.
Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
Oooh sorry! Kumbe ni jukwaa la Ujenzi!!! Asante sana kwa kunitonya mkuuMbona kama jukwa uliongia sio penyewe[emoji51]