MBUZI MWENYE BUSARA
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 143
- 155
Kwani vyeti ndio cv?Habari wadau wa ajira,.
Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
Kwanini usimuulize uyo aliekuambia utume? Au ndo uoga kwamba itakushushia point? We uliza tu kwasab waajiri wanatofautiana.Habari wadau wa ajira,.
Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?