Binti mmoja alikwenda masomoni Urusi na kuamua kuchukua Uraia huko
sasa amerudi Tanzania Kutembelea Nduguze na Kutaka Nyumba yao iuzwe wagawane lakini dada yake amemwambia hastahili kwa sababu yeye si Raia wa Tanzania tena
je ni kweli?
msaada wa kujazia