GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wewe ni Mhaya?Mkuu kwa uzoefu wangu zile headphone na vile viblanket vyepesi vya kujifunika huwa naona watu wanaondoka navyo, nimewahi kuondoka na headphone (KLM & Swiss air & American Airline). Ki ukweli vile havitumiki mara 2 kwa makampuni ya ndege niliyowahi kutumia. Hilo la sabuni, toilet paper sina hakika kwani huwa tunashare vikiwa ndani ya choo kwa wale tunaopanda madaraja yetu ya uchumi wa chini-kati. Vinywaji navyo sina hakika ila nadhani watavizuia wakati wa kucheck out.
MzanakiWewe ni Mhaya?
Mbona umecheka mkuuMzanaki
Tata Waleri.... Uli mzomu?Mzanaki
Kama kweli Wewe ni Mzanaki naomba tuchati hapa hapa Kizanaki na tayari nimeanza hapo juu naona umeona. Hebu nawe nijibu Kizanaki niamini.Mbona umecheka mkuu
Yaani na wewe ni mzanaki? Karibu sana NyamuswaTata Waleri.... Uli mzomu?
Vinywaji, chakula ulivyoomba na ukahudumiwa ni halali yako wewe sepa navyo. Ila vile vya chooni tumia acha humo humo na wenzio watakuja kutumia wakipanda.Mkuu kwa uzoefu wangu zile headphone na vile viblanket vyepesi vya kujifunika huwa naona watu wanaondoka navyo, nimewahi kuondoka na headphone (KLM & Swiss air & American Airline). Ki ukweli vile havitumiki mara 2 kwa makampuni ya ndege niliyowahi kutumia. Hilo la sabuni, toilet paper sina hakika kwani huwa tunashare vikiwa ndani ya choo kwa wale tunaopanda madaraja yetu ya uchumi wa chini-kati. Vinywaji navyo sina hakika ila nadhani watavizuia wakati wa kucheck out.
Kukisikia nakisikia chote kabisa tatizo siwei kuongea kiufasaha na kukiandika nako ni changamoto, ingawa nimezaliwa na kusomea hapa Nyamuswa hadi kidato cha 4, then nikapotelea mbali na home. Amazomu tata.Kama kweli Wewe ni Mzanaki naomba tuchati hapa hapa Kizanaki na tayari nimeanza hapo juu naona umeona. Hebu nawe nijibu Kizanaki niamini.
Lipe Heshima hilo Kabila tafadhali kwani bila Wazanaki Watanzania leo huu Uhuru mlionao mngekuwa mnausikia tu katika Bomba na Kutaabika pia.Yaani na wewe ni mzanaki? Karibu sana Nyamuswa
Hilo lawazekana likawa kweli, lakini kwa asilimia ngapi ndio hatujuiLipe Heshima hilo Kabila tafadhali kwani bila Wazanaki Watanzania leo huu Uhuru mlionao mngekuwa mnausikia tu katika Bomba na Kutaabika pia.
Kuna Njemba imeshuka katika Pipa / Mbung'o / Ndege jana usiku halafu amenipa Zawadi za Sabuni na Toilet Papers hivyo ngoja nimrudishie tu au?Vinywaji, chakula ulivyoomba na ukahudumiwa ni halali yako wewe sepa navyo. Ila vile vya chooni tumia acha humo humo na wenzio watakuja kutumia wakipanda.
Halafu ni kwanini nyie Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara na Warangi huwa mnapenda sana tu Kujifanya mnatokea Mkoa wa Mara?Kukisikia nakisikia chote kabisa tatizo siwei kuongea kiufasaha na kukiandika nako ni changamoto, ingawa nimezaliwa na kusomea hapa Nyamuswa hadi kidato cha 4, then nikapotelea mbali na home. Amazomu tata.
Mimi mzaliwa wa Nyamuswa, darasa la kwanza hadi kidato cha 4 nimesomea hapo (Makongoro sec & Ikizu secondary) ingawa ni muda mrefu sana. Alafu mbona wazanaki wa siku hizi ni kama wakwe zangu wa huko pwani tu. Ule uthubutu na ujasiri ushaisha, tunapigania matumbo yetu tu.Halafu ni kwanini nyie Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara na Warangi huwa mnapenda mno Kujifanya mnatokea Mkoani Kwetu Mara?
Kwa 100% Mkuu kwani hujui kuwa Tanzania nzima Watu ambao wanaongoza kuwa na Akili Kubwa na Maarifa mengi ni wa kutokea Mkoani Mara?Hilo lawazekana likawa kweli, lakini kwa asilimia ngapi ndio hatujui