GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Mimi naweza Kuvivaa vyema kabisa Viatu vyake Mkuu na hivi akiwa kama Babu yangu alikuwa akinipenda mno alipokuwa pale Kwake Msasani Dar.Watu wa aina yake utokea mara chache sana.
Kuna mshikaji wangu mmoja anaitwa Jumbe Wanzagi, ni ukoo wa Mwl pia. Namtafuta sana bila mafanikio, alisoma Ikizu sec pia.Mimi naweza Kuvivaa vyema kabisa Viatu vyake Mkuu na hivi akiwa kama Babu yangu alikuwa akinipenda mno alipokuwa pale Kwake Msasani Dar.
Kama Wewe ni wa hapo Busegwe basi naanza kupata Hisia kuwa unaweza kuwa Ndugu yangu kabisa japo Mimi Asili yangu ni Butuguri Kibubwa.Hapana wazazi walihamia hapo na nikazaliwa huko, asili yao ni Busegwe
Naona sasa hivi mnamlinganisha na jiwe, maajabu hayatoisha. Mwl nakumbuka mwaka 1995 alituacha akaenda kumpigia kampeni Mzee Mkapa (RIP), hatimaye jimbo (musoma vijijini likaenda kwa balozi Paulo Ndobho (NCCR-Mageuzi). Mzee alikuwa fair sana, figisu za kitoto toto alikuwa hana kabisa. Wangekuwa hawa wa sasa asingekubali jimbo liende upinzani, na hiyo ndiyo siasa rafiki.Mimi naweza Kuvivaa vyema kabisa Viatu vyake Mkuu na hivi akiwa kama Babu yangu alikuwa akinipenda mno alipokuwa pale Kwake Msasani Dar.
Wanafanya hivyo kama Ndege imebeba Abiria wengi kutoka Tanzania au hata ikiwa na Abiria wao wenyewe ni Raia wao huko nchini Kenya Mkuu?Kenya airways,headphones,unaziacha,kitu ikikaribia kutua,wanazikusanya zote,
Umemtafuta hapo Butiama Town jirani na barabara Kuu ya kuelekea kwa Mwalimu katika Vijiwe vya Gongo ( Brandi ) na ukamkosa kabisa Mkuu?Kuna mshikaji wangu mmoja anaitwa Jumbe Wanzagi, ni ukoo wa Mwl pia. Namtafuta sana bila mafanikio, alisoma Ikizu sec pia.
Nilikuwa Nyamuswa wiki ya uchaguzi nikwaulizia washikaji wakawa hawana taarifa zake na kwenye social media simuoni. Nikienda disemba lazima nimtafute, ni takribani miaka 28 sasa tangu tumeonana mara ya mwisho.Umemtafuta hapo Butiama Town jirani na barabara Kuu ya kwenda kwa Mwalimu katika Vijiwe vya Gongo ( Brandi ) na ukamkosa kabisa Mkuu?
Hujawahi Kukaa / Kuishi nami ila nakuhakikishia GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Kalemera Rwigyema Mazimpaka ) ni Nyerere aliye hai kwa sasa.Naona sasa hivi mnamlinganisha na jiwe, maajabu hayatoisha. Mwl nakumbuka mwaka 1995 alituacha akaenda kumpigia kampeni Mzee Mkapa (RIP), hatimaye jimbo (musoma vijijini likaenda kwa balozi Paulo Ndobho (NCCR-Mageuzi). Mzee alikuwa fair sana, figisu za kitoto toto alikuwa hana kabisa. Wangekuwa hawa wa sasa asingekubali jimbo liende upinzani, na hiyo ndiyo siasa rafiki.
Vinywaji pia unaondoka navyo, haina shida.Mkuu kwa uzoefu wangu zile headphone na vile viblanket vyepesi vya kujifunika huwa naona watu wanaondoka navyo, nimewahi kuondoka na headphone (KLM & Swiss air & American Airline).
Ki ukweli vile havitumiki mara 2 kwa makampuni ya ndege niliyowahi kutumia. Hilo la sabuni, toilet paper sina hakika kwani huwa tunashare vikiwa ndani ya choo kwa wale tunaopanda madaraja yetu ya uchumi wa chini-kati.
Vinywaji navyo sina hakika ila nadhani watavizuia wakati wa kucheck out.
Mkuu karibu sana Busegwe mwezi wa 12. wengine tunaenda kutambikaHujawahi Kukaa ( Kuishi ) nami ila nakuhakikishia GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Kalemera Rwigyema Mazimpaka ) ni Nyerere aliye hai kwa sasa.
Na Gongo ( Brandi ) za Kizanaki ( hasa hapo Butiama hadi kule Busegwe Kwao Mkono na Kwetu pale Butuguri ) zilivyo balaa anaweza akawa R.I.P.Nilikuwa Nyamuswa wiki ya uchaguzi nikwaulizia washikaji wakawa hawana taarifa zake na kwenye social media simuoni. Nikienda disemba lazima nimtafute, ni takribani miaka 28 sasa tangu tumeonana mara ya mwisho.
Sina haja ya kila mara kwenda Uzanakini huko Mkuu kwani Matambiko niliyopata tu Miongo Minne iliyopita inanitosha Kunilinda na Kufanikiwa zaidi.Mkuu karibu sana Busegwe mwezi wa 12. wengine tunaenda kutambika
Gongo za mkoa wa Mara zinaweza muondoa mtu mapema sana, ndio maana wengi hawanywi gredi 1. Huku mjini unakuta mtu mmoja anakunywa nusu lita eti ya gongo na anatembea vizuri tu. Kuna jamaa yangu hapo hospitali ya Butiama nitampa hiyo kazi amtafute Jumbe kwa namna yoyote nijue aliko.Na Gongo ( Brandi ) za Kizanaki ( hasa hapo Butiama hadi kule Busegwe Kwao Mkono na Kwetu pale Butuguri ) zilivyo balaa anaweza akawa RIP.
Utakuwaje vizuri Kichwani na Kiafya kabisa kama Gongo ( Brandi ) ya Uzanakini Musoma ( Mkoani Mara ) inatengenezwa na Mvuke wa Mavi Mkuu?Gongo za mkoa wa Mara zinaweza muondoa mtu mapema sana, ndio maana wengi hawanywi gredi 1. Huku mjini unakuta mtu mmoja anakunywa nusu lita eti ya gongo na anatembea vizuri tu. Kuna jamaa yangu hapo hospitali ya Butiama nitampa hiyo kazi amtafute Jumbe kwa namna yoyote nijue aliko.
Hiyo inatengenezwa huko visiwani, haswa Ukerewe na kwa wakara. Niliwakuta jamaa zangu wa miaka hiyo wamechoka balaa, ilibidi mmoja niondoke naye akabangaize ninakoishi. Sasa anakunywa pombe za viwandani na yuko poa kabisa, amekuwa mkulima mzuri sana.Utakuwaje vizuri Kichwani na Kiafya kabisa kama Gongo ( Brandi ) ya Uzanakini Musoma ( Mkoani Mara ) inatengenezwa na Mvuke wa Mavi Mkuu?
Ni wasiwasi wako tu Mkuu ( Poti / Mwetu ) kwani hakuna Mtanzania yoyote mwenye Uwezo wa Kumroga au Kushindana Kiulozi na Mzanaki sawa?Sisi tunaenda kuboost wa mjini wasije kutuzidi kete, naona kama zinapungua nguvu.
Kwa Consultation zaidi juu ya Kinywaji hiki ukipata muda mtafute Mzee Jaji Mstaafu na Retired Premier Warioba au hata Mzee Wetu Wassira sawa?Hiyo inatengenezwa huko visiwani, haswa Ukerewe na kwa wakara. Niliwakuta jamaa zangu wa miaka hiyo wamechoka balaa, ilibidi mmoja niondoke naye akabangaize ninakoishi. Sasa anakunywa pombe za viwandani na yuko poa kabisa, amekuwa mkulima mzuri sana.
Mkuu kwa uzoefu wangu zile headphone na vile viblanket vyepesi vya kujifunika huwa naona watu wanaondoka navyo, nimewahi kuondoka na headphone (KLM & Swiss air & American Airline).
Ki ukweli vile havitumiki mara 2 kwa makampuni ya ndege niliyowahi kutumia. Hilo la sabuni, toilet paper sina hakika kwani huwa tunashare vikiwa ndani ya choo kwa wale tunaopanda madaraja yetu ya uchumi wa chini-kati.
Vinywaji navyo sina hakika ila nadhani watavizuia wakati wa kucheck out.