Je, Ukifungua sanduku la posta mtandaoni unaweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo?

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,252
Reaction score
18,335
Wakuu,

Nimeingia kwenye tovuti ya posta nimeona kuna sehemu wameandika kufungua virtual box. sasa nilikuwa nauliza je, kama nikifungua naweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo?

Natanguliza shukrani.
 
Mzigo gani? Kama ni hii ya kuagizishia nje hata hawatumii masanduku
Ndiyo, mizigo ya nje hasa kupitia aliexpress. Nimetoka Kupiga simu huduma kwa wateja ofisi za posta dar es salaam akaniambia hivyo hivyo kuwa siyo lazima kuwa na sanduku.

kwa hiyo mkuu nikijaza details zangu pale aliexpress wakati wa kuweka order mzigo wangu utakuja moja kwa moja hadi posta?
 
Siku hizi ukitumia standard shipping inakuja na Speedaf wanakufanyia delivery kabisa Nyumbani.
 
Back
Top Bottom