Ndiyo, mizigo ya nje hasa kupitia aliexpress. Nimetoka Kupiga simu huduma kwa wateja ofisi za posta dar es salaam akaniambia hivyo hivyo kuwa siyo lazima kuwa na sanduku.
kwa hiyo mkuu nikijaza details zangu pale aliexpress wakati wa kuweka order mzigo wangu utakuja moja kwa moja hadi posta?