Je ukijamiiana na mtu mwenye UKIMWI, utaathirika?

Ismail Ezekiel

New Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
3
Reaction score
0
Je kunauwezekano wa kufanya mapenzi na mtu mwenye VVU bila kutumia kinga na usipate maambukizi.
 
mjomba! UKIMWI haujaribiwi! huo ni zaidi ya ngada, hio kitu inaitwa gusa ukaushwe! uwezekano upo kwa asilimia 20 ila usijaribu kufanya hivyo hadi kaburi litakapokuita kwa amani
 
NdiYo, (uwezekano wa kuambukizwa ni chini ya 1% kwa contact moja.). Michubuko au kuwa na vidonda huko sehemu za siri huongeza uwezekano wa kuambukizwa. Pia idadi ya kukutana kimwili na mtu mwenye VVU huongeza uwezekano wa kuambukizwa kama kinga hamtumiii. Sex kinyume na maumbile pia huongeza uwezekano wa maambukizi kuliko mbele.
 
Acha kuendelea kuwauwa watanzania kwa ajili ya mawazo yako mgando ukimwi ni ugonjwa wa imani tu
Nje ya mada kidogo
Namuona komredi Fidel Castro na Kamanda Camilo kwa avatar yako, respect kwao, respect na kwako pia! Salute...
 
Inawezekana tena kwa asilimia kubwa. Couples
Nyingi zikipima mmoja anakutwa nao mwingine hana. Jibu la uhakika ni kupima tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…