Ina wezekana ila kwa asilimia chache sana b' cause sehemu za siri za mwanamke ni delicate sana kwa hyo uwezekano wa yeye kua na michibuko hata kabla ya sex ni kubwa sana.
Kwa ushauri;
Jitahd kua unatumia kinga kwa kufuata maelekezo yote maana najua watu wachache sana wanaofuata maelekezo ndo maana unakuta MTU katumia kinga na bado kapata maambukizi, take care mtanzania mwenzangu. Kwa mfano MTU anajivurisha yy mwenyewe kinga ni hatari sana ukikutana na musicha mwenye virusi mchubuko ukatokea na we ukashka tu AF ukawa na jeraha kwa vdole inakua hatare.
Pili kushka uken kabla ya tendo au baada itapelekea kupata maambukizi ikitokea ukawa na jeraha
Tatu French kiss.pia midomo yetu wanadamu IPO kwenye hatari kubwa ya kupata michubuko kwa mfano wakati wa kula,wakati wa kuswaki.
So,ndo maana usipo zingatia hayo,ukifanya mapenzi na muasirka wa ukimwi upo kwenye chance kubwa ya kuambukizwa hata kama umetumia kinga