king can janja
Member
- Feb 14, 2018
- 21
- 1
Wapendwa naombeni msaada!mi najua,kushinda tatu mzuka mpaka namba tatu zifanane ndo unapata milion,je ukikosa namba moja kuna kupata chochote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda betting,, achana na tatu mzuka kabisaaaaWapendwa naombeni msaada!mi najua,kushinda tatu mzuka mpaka namba tatu zifanane ndo unapata milion,je ukikosa namba moja kuna kupata chochote?
Na mchezo unaofuata ukikosa inakuwaje? Kama ukicheza droo ya saa nne ukakosa na inayofuata ukakosa pia vipi inayofuata tena kama hiyo namba ikatoka?Jaribu tena baadaye [emoji41] UNAIBIA namba kwa mchezo unaofuata
Na mchezo unaofuata ukikosa inakuwaje? Kama ukicheza droo ya saa nne ukakosa na inayofuata ukakosa pia vipi inayofuata tena kama hiyo namba ikatoka?
Duuh kumbe ndo hivyo. Nilijua kwa siku ukicheza mara moja tu unaingia kwenye droo ya siku hiyoKila namba na saa yake, mfano kubahatisha 347 kwa droo ya saa nne then ikashinda 310 hapo hupati kitu, hata kama saa zijazo itatoka 347 hupati kitu labda uwe ulicheza tena kwa droo ya saa husika. Pia uki bahatisha namba zote tatu yani 347 unapata 82,000 yani 100,000-vat(18000), under assumption uliweka 500. Mana wanachukua pesa uliyoweka time 200. Pia kwao 347 na 371 wana kupa mara mbili ya pesa yako. So kama uliweka jero hapo utakuwa umepata buku. Angalizo pia 347 <>374 hapo wanasema umelinganisha namba mbili. So ili ushinde zote tatu mpaka na arrangement iwe sawa, yani 347 nawe uwe umeweka 347.
Ushindi uko mbali japo niliwahi kupata mara moja then mpaka leo napigwa tu
Duuh kumbe ndo hivyo. Nilijua kwa siku ukicheza mara moja tu unaingia kwenye droo ya siku hiyo
Hapana kila saa ikiisha ndiyo wanatoa namba tatu za ushindi, japo wanadai jpili kuna droo kubwa wanachezesha, so waweza usishinde ya saa ukaja shinda hiyo droo kubwa japo chance ni ndogo sana
Vp ngaiza?
hapo inakua umelinganisha namba moja ambayo ni 3 so utapata mara mbili ya ulichoweka...Kama nimekuelewa kuwa ukiweka na 347 na katika mchezo ikatokea hiyohiyo utakuwa umeshinda ,swali ni je ukiweka 371 ikatokea 347 nako utakuwa umeshinda?