The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Ok,nimeogopa sababu ni eneo ambalo vijana wangu wanapenda kucheza hapo.Nijuavyo nyoka hata akiwa na jeraha tu haponi. Sembuse kumkata mkia? halafu nyoka moyo wake upo mkiani...
Huyo hajafa nyoka kufa mpaka umponde kichwa ni km mjusi tu ukimkata mkia unaota mkia mwingine hahaha reptilesNijuavyo nyoka hata akiwa na jeraha tu haponi. Sembuse kumkata mkia? halafu nyoka moyo wake upo mkiani...
Ila jitahidi umsake mpaka umpate ili uondoe mabaki yake.Ok,nimeogopa sababu ni eneo ambalo vijana wangu wanapenda kucheza hapo.
Siyo kweliNijuavyo nyoka hata akiwa na jeraha tu haponi. Sembuse kumkata mkia? halafu nyoka moyo wake upo mkiani...
Lete ukweli,,,sio unapinga tu mkuu!!Siyo kweli
Mkuu kama nimekata na kisu we we huogopi.Ila wanaume wa huo mkoa mmezidi uoga mazee..teh😜
Kuna jamaa aliwahi kupambana na panya ndani kesho yake akaja na uzi kabisa na ushahidi wa picha na akasimulia jinsi alivyo pambana usiku kucha...🤣
ChaiNijuavyo nyoka hata akiwa na jeraha tu haponi. Sembuse kumkata mkia? halafu nyoka moyo wake upo mkiani...
Umeleta uzi huu kwa sababu ya woga wa kumtafuta mpaka ummalize. Hakikisha unamtafuta huyo nyoka mpaka umponde kichwa chote.Habari wadau,
Naomba kuuliza kama ukimkata nyoka mkia ataendela kuishi.
Leo baada ya mihangaiko yangu nimerudi nyumbani mapema nikaona ni vyema nishughulikie bustani yangu ya matunda na mboga mboga.
Sasa wakati nachimba mche kwa kutumia kisu ghafla akatokea nyoka mweusi na kuanza kutambaa kutoka kwenye shimo.
Kwakua nilikua na kisu mkononi nikafanikiwa kumkata mkiani kwa kutumia kisu kama inavyoonyesha hapo kwa picha.
Bahati mbaya akakimbia lakini yuko ndani ya uzio.
Sasa nawaza je ataendelea kuishi huyu mdudu
Wajuzi Naombeni maarifa yenu
Nisamehe mkuu nimeogopa sana kuwa na nyoka mweusi hapa ndaniUnauamiza nyoka mali ya serikali, kwanini usiwapigie Tanapa.Bahati yako siyo mpinzani la sivyo tungekupa kesi kubwa sana.
Sema mitano tena ntakusamehe.Nisamehe mkuu nimeogopa sana kuwa na nyoka mweusi hapa ndani
HapanaChai