The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
- Thread starter
-
- #21
Kweli nimeogopa kiasiUmeleta uzi huu kwa sababu ya woga wa kumtafuta mpaka ummalize. Hakikisha unamtafuta huyo nyoka mpaka umponde kichwa chote.
Nazidi kuogopa,Shukrani kwa kushirikisha tukio hili na swali zuri sana.
Kuhusu kama nyoka anaweza kuendelea kuishi baada ya kukatwa mkia:
Ndiyo, nyoka anaweza kuendelea kuishi hata kama amekatwa mkiani, hasa kama mkato haukuathiri uti wa mgongo wake au viungo muhimu kama kichwa, kifua au tumbo. Mkia wa nyoka mara nyingi hauna viungo vya lazima kwa uhai wake; ni kama "mzani" unaosaidia katika usawaziko wa mwili na kutembea.
Mambo muhimu ya kujua:
Nyoka wengi hawafi kwa kukatwa mkia tu, na wanaweza kuendelea kuwa na nguvu na hata kuwa na hasira zaidi kwa muda.
Ni muhimu kuwa makini, kwani nyoka aliyejeruhiwa anaweza kujificha na baadaye kushambulia kwa kujihami.
Kama hufahamu aina ya nyoka huyo (kama ni wa sumu au la), ni vyema kuwasiliana na wataalam wa wanyamapori au mamlaka za usalama wa mazingira ili wamsake na kumtoa.
Usijaribu kumtafuta mwenyewe bila kinga au uzoefu, kwa sababu anaweza kujificha sehemu zisizotarajiwa.
Hitimisho: Ndiyo, nyoka anaweza kuendelea kuishi baada ya kukatwa mkiani. Endelea kuwa makini, usifanye kazi bustanini bila kuchunguza kwanza, na tafuta msaada wa kitaalamu ikiwa una wasiwasi kuwa bado yupo kwenye eneo la uzio.
Choma chumvi ya mawe atakimbiaKama umekata sehemu anayotolea haja "cloaca" basi atakuwa amekufa vinginevyo atakuwa anateseka huko alipo ni suala la kuhakikisha unampata na kummalizia
Anapona na kuishi vichuuuriii kabisa.Habari wadau,
Naomba kuuliza kama ukimkata nyoka mkia ataendela kuishi.
Leo baada ya mihangaiko yangu nimerudi nyumbani mapema nikaona ni vyema nishughulikie bustani yangu ya matunda na mboga mboga.
Sasa wakati nachimba mche kwa kutumia kisu ghafla akatokea nyoka mweusi na kuanza kutambaa kutoka kwenye shimo.
Kwakua nilikua na kisu mkononi nikafanikiwa kumkata mkiani kwa kutumia kisu kama inavyoonyesha hapo kwa picha.
Bahati mbaya akakimbia lakini yuko ndani ya uzio.
Sasa nawaza je ataendelea kuishi huyu mdudu
Wajuzi Naombeni maarifa yenu
Mh ngoja nimrudishie mkia wakeAnapona na kuishi vichuuuriii kabisa.
Kwa hiyo umeamua kumwaibisha mwanaume mwenzio hadharani?Ila wanaume wa huo mkoa mmezidi uoga mazee..teh😜
Kuna jamaa aliwahi kupambana na panya ndani kesho yake akaja na uzi kabisa na ushahidi wa picha na akasimulia jinsi alivyo pambana usiku kucha...🤣
Mshamba huyo nyoka wa size hiyo nimemkata kwa kisu mkiani yeye angekimbia kutafuta fimbo au sirudi bustanini.Kwa hiyo tumeamua kumwaibisha mwanamume mwenzio hadharani?
Aisee nimekupa jibu hapo juu hauajibuMshamba huyo nyoka wa size hiyo nimemkata kwa kisu mkiani yeye angekimbia kutafuta fimbo au sirudi bustanini.
Afadhari wewe unanipa moyo kidogo, ni mkubwa kiasi huyu nyoka.Nyoka hata ukimparua kidogo haponi kiongozi, ngozi yake hairuhusu kupona sabab ya sumu alonayo inakua Ina athiri kidonda.
Nimekuelewa mkuu asanteTafuta taili lilikwisha isha matumizi yake iwe la gari ,pikipiki au baiskeli lichome humo ndani moshi na harufu yake itamkimbiza joka kutoka katika himaya yake .
Ila wakati mwingine ukimuona nyoka shika kichwa tia vibao viwili then kamtupe nje aendelee na harakati zake
Ahsante kaka nimefurahi sana kama umenielewa ,nalog off sasa .Nimekuelewa mkuu asante
Nitafanya hivyo
Unapiga ugimbi mzeeAhsante kaka nimefurahi sana kama umenielewa ,nalog off sasa .
Usiku mwema ,karibu ulanzi
Dawa simple tu, tafuta oil chafu au mafuta ya taa, mwaga maeneo ya busitan, akisikia vinanuka hawezi kamwe kuendelea kukaa maeneo hayoShukrani kwa kushirikisha tukio hili na swali zuri sana.