MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Eee ndugu yangu nifanyeje sasa ? Nilowaza kujiunga na chadema nigombee udiwani sasa na kwenyewe kunafuka moshi ,wacha nibaki na kibarua changu na ulabu wangu tu.Unapiga ugimbi mzee
Wapigie simu wale jamaa wa: NATGEO WILD: snake in the cityNazidi kuogopa,
Kuna mtu aliniambia kitakacho muua ni sisimizi wanaoshambulia jeraha lake.
Mkuu majaribio haya na nyoka wa kawaida Au wakuchoraAnaendelea kuishi ukitaka uelewe zaidi nyoka ukiwa nae mshike mkia anakung'ata au kutemea Sumu ila ukimzuia kichwa chake atatapatapa Tu manake gonga kichwa anakufa mazima
Nyoka yoyote ukiona humuelewi gonga kichwa Ndio unammalizaMkuu majaribio haya na nyoka wa kawaida Au wakuchora
Nyoka moyo wake haupo mkiani upo chini kidogo ya kichwa.Nijuavyo nyoka hata akiwa na jeraha tu haponi. Sembuse kumkata mkia? halafu nyoka moyo wake upo mkiani...
Dar mbezi ya kimaraUnaweza kutaja mahali ulipo(Mkoa) ili kujua kama anaweza kuwa nyoka mwenye sumu ama wa kawaida ili usimdhurumu uhai wake........?
Sijafanikiwa kuiona picha clear na kumjua ni nyoka yupi ila kwa size ya mkia nikilinganisha na ukubwa wa paving itakuwa ni mmoja wa jamii ya sand snakes ambao wengi wao ni Harmless kwa binadamu....Dar mbezi ya kimara
Ni mweusi mkuuSijafanikiwa kuiona picha clear na kumjua ni nyoka yupi ila kwa size ya mkia nikilinganisha na ukubwa wa paving itakuwa ni mmoja wa jamii ya sand snakes ambao wengi wao ni Harmless kwa binadamu....
Minaona huo ulikua kama mkia wa mjusi...πKwa hiyo umeamua kumwaibisha mwanaume mwenzio hadharani?
Ukimkata mbele ya tundu lake toka mkiani,haponi,ila nyuma ya tundu anapona vizuri tuLete ukweli,,,sio unapinga tu mkuu!!
Ooh,,kweli!!Ukimkata mbele ya tundu lake toka mkiani,haponi,ila nyuma ya tundu anapona vizuri tu
πππ halafu upo serious kabisa mkuuNijuavyo nyoka hata akiwa na jeraha tu haponi. Sembuse kumkata mkia? halafu nyoka moyo wake upo mkiani...
Nasikia ukiwa unawakimbia wanyonya damu usigeuke nyuma, wana kioo chao ukigeuka wakakumulikia usoni unakuwa kama umelewa, unajikuta unakaa chini wanakuja kukuokota.Nijuavyo nyoka hata akiwa na jeraha tu haponi. Sembuse kumkata mkia? halafu nyoka moyo wake upo mkiani...