Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Umelipiza ubaya kwa ubaya mkuu, ndiyo hiyo mnaita ubaya ubwela?Nasikia ukiwa unawakimbia wanyonya damu usigeuke nyuma, wana kioo chao ukigeuka wakakumulikia unakuwa kama umelewa, unajikuta unakaa chini wanajuja kukuokota.
Walikuwa wanakwenda sana mashuleni kna magari yao yenye misilaba myekundu kwenda kunyonya damu wanafunzi.
Thubutu yake,nitafyeka bustani yote hii nimsake nione atakikbilia wapiNyoka huyo lazima ataota mkia na lazima atataka kulipiza kisasa hivyo huna budi kumtafuta na kummaliza kabla yeye haja recover na kuanza kukusaka.
Watu wa mikoani mkionaga shida za wadudu wanyama wakorofi au sehem ya kutumia nguvu huwa mnajiona mashujaa sana sijui kwanini.Uko dar sehemu gani?
Kama ni mali ya serikali huyo nyoka alikuwa anafanya nini huko kwa watu. Si angeenda kuishi serikalini Dodoma?Unauamiza nyoka mali ya serikali, kwanini usiwapigie Tanapa.Bahati yako siyo mpinzani la sivyo tungekupa kesi kubwa sana.
Kuna theory kuwa nyoka akikatwa mkia akafanikiwa kupona, basi sumu yake huwa kali sana na huwa mkali [meaning atakuwa aggressive.Habari wadau,
Naomba kuuliza kama ukimkata nyoka mkia ataendela kuishi.
Leo baada ya mihangaiko yangu nimerudi nyumbani mapema nikaona ni vyema nishughulikie bustani yangu ya matunda na mboga mboga.
Sasa wakati nachimba mche kwa kutumia kisu ghafla akatokea nyoka mweusi na kuanza kutambaa kutoka kwenye shimo.
Kwakua nilikua na kisu mkononi nikafanikiwa kumkata mkiani kwa kutumia kisu kama inavyoonyesha hapo kwa picha.
Bahati mbaya akakimbia lakini yuko ndani ya uzio.
Sasa nawaza je ataendelea kuishi huyu mdudu
Wajuzi Naombeni maarifa yenu
Watu wa mikoani mkionaga shida za wadudu wanyama wakorofi au sehem ya kutumia nguvu huwa mnajiona mashujaa sana sijui kwanini.
Kingine kwenye kula mkila sana mnjiona mafahari kweli
Hili nalo mkalit
Mwanaume wa dar anapigwa na mwanamke wa mkoaniWatu wa mikoani mkionaga shida za wadudu wanyama wakorofi au sehem ya kutumia nguvu huwa mnajiona mashujaa sana sijui kwanini.
Kingine kwenye kula mkila sana mnjiona mafahari kweli
Hili nalo mkalitizame
Duh napata waoga sasa.Kuna theory kuwa nyoka akikatwa mkia akafanikiwa kupona, basi sumu yake huwa kali sana na huwa mkali [meaning atakuwa aggressive.
Ni myth!! Am not sure. Ushauri ungepambana kwa kumwaga mafuta ya taa au kuchoma matairi kwa ajili ya usalama wa watoto.
Duh napata waoga sasa.
Nitamsaka jioni huyu
Sawa,haya tunafanyaje na huyu kiumbe hapaMwanaume wa dar anapigwa na mwanamke wa mkoani
Nijuavyo nyoka hata akiwa na jeraha tu haponi. Sembuse kumkata mkia? halafu nyoka moyo wake upo mkiani...
Hilo dudu, ni mbaya sana ukilichezeašThubutu yake,nitafyeka bustani yote hii nimsake nione atakikbilia wapi