Je UKIMWI unaweza kuambukizwa kupitia mate?

Je UKIMWI unaweza kuambukizwa kupitia mate?

Dannis

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2016
Posts
1,603
Reaction score
1,702
habari wapendwa. naomba kuuliza swali moja kuhusu ukimwi

1: ku-share mate (kiss za wazungu "Denda" inaweza kusababisha kupata virusi vya ukimwi kama mmoja kati yao atakuwa na VIRUSI? kama ndiyo "inakuwaje "
 
Utapata endapo mna mchubuko au vidonda mdomoni. Virusi vya ukimwi vinaishi kwenye damu tu na damu yenyewe inatakiwa iwe na nyuzi joto kiasi flani ikipoa huwa virusi vinakufa.. Hivyo aina yoyote ambayo itawafanya mu intershare damu basi kuna possibility kubwa ya kupata maambukizi endapo mmoja wenu ana maambukizi
 
kwenye mate unaweza ukapata virusi ila mate yawe zaidi ya lita tano, tofauti na hapo kuna semen fluid na damu basi.
 
Tena sanaa..! Wengi wameumia kwa njia ya denda

Utapata endapo mna mchubuko au vidonda mdomoni. Virusi vya ukimwi vinaishi kwenye damu tu na damu yenyewe inatakiwa iwe na nyuzi joto kiasi flani ikipoa huwa virusi vinakufa.. Hivyo aina yoyote ambayo itawafanya mu intershare damu basi kuna possibility kubwa ya kupata maambukizi endapo mmoja wenu ana maambukizi
Thanks kaka
 
Sijui hata niseme nini maana kila nikisoma sielewi hofu ninayo kubwa sana
 
Back
Top Bottom