Jina mtume hilo mkuuusiite mwanao wa kiume jina yusuph
Procedures zikoje kwa mtoto wa shuleKuna familia moja mtoto wao alipewa jina la Fataki. Si unakumbuka ile kampeni ya anti-mafataki kwa vibinti vya shule, dogo akawa anataniwa sana na watoto wenzie mtaani kwao na hasa p/school kwao. Dogo akakosa furaha, so ikabidi wambadilishie jina tu, no way.
Kama imekuwa shida we mbadilishe jina
Utaratibu ninaoufahamu ni mtoto na mzazi/mlezi kufika kwa hakimu wa angalau Mahakama ya mwanzo kwa lengo la kula kiapo cha kubadilisha jina mkiwa na kadi ya clinic na/au cheti cha kuzaliwa vya mtoto.Procedures zikoje kwa mtoto wa shule