Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
Kama mlikua na situation ya kutoeleweka kama hii uloandika hapa..hizo picha zitakusaidia kufunga ukurasa rasmi na kumove on kiroho safi.yaani hamkuachana rasmi, hamkujua mmemalizana vipi, lakini yeye anaendelea na maisha kama vile haukuwepo.
naweka nyimbo ya kalapina mstari wa mbeleTuseme upo kwenye Instagram zako unascroll tu kawaida, halafu ghafla unakutana na picha za pre-wedding au harusi ya mtu ambaye bado ni girlfriend/boyfriend wako—yaani hamkuachana rasmi, hamkujua mmemalizana vipi, lakini yeye anaendelea na maisha kama vile haukuwepo.
Na picha zimepostiwa saa chache zilizopita, fresh kabisa.
Unaona ana tabasamu kubwa, ameongozana na mtu mwingine kabisa ambaye hujawahi kumuona, na caption ni zile za “Forever with you”, “My one and only”, “Can’t wait to spend the rest of my life with you.”
Wewe ungefanyaje?
• Ungetuma message?
• Ungefuta namba zote?
• Ungeangalia kwa utulivu tu na kuendelea na maisha?
• Ungejichunguza kama ulipuuzwa au alikuwa na mtu mwingine muda wote?
Jamani, hivi kweli watu wanaweza kukuacha bila kusema neno, halafu baadae unakutana na mambo yao makubwa kwenye mitandao?
wana Jamii, hebu tupeane maoni. Hili linatokea kwa wengi, lakini watu wanabaki kimya kwa sababu ya aibu au maumivu ya ndani.View attachment 3312286
Acha waoaneTuseme upo kwenye Instagram zako unascroll tu kawaida, halafu ghafla unakutana na picha za pre-wedding au harusi ya mtu ambaye bado ni girlfriend/boyfriend wako—yaani hamkuachana rasmi, hamkujua mmemalizana vipi, lakini yeye anaendelea na maisha kama vile haukuwepo.
Na picha zimepostiwa saa chache zilizopita, fresh kabisa.
Unaona ana tabasamu kubwa, ameongozana na mtu mwingine kabisa ambaye hujawahi kumuona, na caption ni zile za “Forever with you”, “My one and only”, “Can’t wait to spend the rest of my life with you.”
Wewe ungefanyaje?
• Ungetuma message?
• Ungefuta namba zote?
• Ungeangalia kwa utulivu tu na kuendelea na maisha?
• Ungejichunguza kama ulipuuzwa au alikuwa na mtu mwingine muda wote?
Jamani, hivi kweli watu wanaweza kukuacha bila kusema neno, halafu baadae unakutana na mambo yao makubwa kwenye mitandao?
wana Jamii, hebu tupeane maoni. Hili linatokea kwa wengi, lakini watu wanabaki kimya kwa sababu ya aibu au maumivu ya ndani.View attachment 3312286
Ikiisha unapiga ya nonini maisha NI mbele Kwa mbele ,(mbele ...Kwa mbele?naweka nyimbo ya kalapina mstari wa mbele
Hayo maneno niliyoyakoleza yana maana gani mkuu? I am just curious 😳Back to topic nampigia sim kwa namna nyingine ili numnferm au Kama meniumiza Sana ninanaweza kumuagiza mtu ampgie ii acmferm mana siku iz Photoshop nyingi au mambo ya cantent au drama au mambo ya Ai akikomferm kama ni yeye bas inatosha huna haha ya kumuuliza maswal mengi Kuna sku mtakutana mtauluzana tu
Umeongea ukweli mtupu. Inaumiza, lakini inasaidia. Ni kama penzi linajizika lenyewe rasmi.Kama mlikua na situation ya kutoeleweka kama hii uloandika hapa..hizo picha zitakusaidia kufunga ukurasa rasmi na kumove on kiroho safi.
Nb: Kuumia hakukwepeki..utaumia sana sana kama ulimpenda kwa dhati lakn at least hutaidanganya nafsi kwamba bado una nafasi kwake.
Unaonekana haukua na malengo nae ndio maana haikukuuma na bado unaendelea kumchezea.Mi niliona wasap status nikalike nikakausha zikapita siku nikampa hongera then akajifunguwa nikampa hongera pia then now nikiitaka inaletwa naipiga fresh tu