S swag Member Joined Nov 23, 2016 Posts 52 Reaction score 22 Nov 26, 2016 #1 Jamani wanasheria, nambie ukweli wa jambo hii. Hivi zawaidi inayotolewa/wanayopeana wapenzi wakati wa mahusiano yao, je irudishe wakigombana? Kutokurudishwa kwake ni criminal au civili case?
Jamani wanasheria, nambie ukweli wa jambo hii. Hivi zawaidi inayotolewa/wanayopeana wapenzi wakati wa mahusiano yao, je irudishe wakigombana? Kutokurudishwa kwake ni criminal au civili case?