SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Shalom Shalom vijana kwa wazee, mabibi na mabwana. Amani iwe nanyi.
Nina swali fupi ila muhimu ningependa kupata mwongozo wa kisheria kwa wale wenye ufahamu wa jambo hili.
Chukulia umeshinda katika Jackpot katika Betting, lakini kutokana na sababu mbalimbali za kiusalama, ulinzi na ustawi wa maisha yako, unapendelea ushindi wako usiwekwe wazi kwa maana ya jina lako lisitangazwe au usipigwe picha.
Najua makampuni ya betting wanataka na kupendelea washindi watangazwe kwa ajili ya promotion zao ili pia wajilinde wasionekane matapeli, kwa hiyo hili nadhani wamelibana na wameliweka kwenye T&C zao.
Nadhani niliwahi kusikia kuna nchi au maeneo unaweza kufungua Kampuni au Trust ikawa mwakilishi wa kupokea pesa yako kwa wale wanaopenda kubaki "anonymous" au "asiyejulikana".
Nimeanza kusikia harufu za mashuka ya kimasai.