Je ukisoma CBG unaweza soma prog hizi?

tommyzo

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
65
Reaction score
9
Wakuu naombeni nisaidien , nikisoma CBG naweza soma degree ya nursing au ya pharmacy?
 
Yap inawezekana, ila kwa ushauri wangu ikiwezekana chukua pharmacy nina ndugu yangu Advance alichukua combination hiyo alipomaliza akapiga bacherol ya pharmacy.
I
k
o

p
o

s
n
a
.
 
Sorry,nilipitiwa ni kweli nilitaka kuandika bachelor degree ya pharmacy. Nashukru kunishtua mkuu.
 
kwa muhas bachelor of pharmacy wanataka waone na physics kwenye combination yako

Sio lazima iwe Physics hata Mathematics yaani CBM anasoma Bachelor of Pharmacy hapo MUHAS bila shida.
 
Ww kama unachanganyikiwa kwa kutojua ni nn unaweza kusoma,basi kwa kukusaidia tafuta tcu guide book ujionea mwenyewe,kama vp nenda uki-download kipo available kwenye mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…