KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Jun 10, 2023 #1 Binafsi, je naenda kukutana na nani? Hilò ndio swali namba 1. Swali namba mbili huwa je anajua nini kwenye mitindo na fashion? Basi napenda vitu unique, yaani niwe wa kipekee ndio maana nagharamìa. Hii ndio saa yangu. Usiulize gharama . Nguruwe hawajuagi madini etii!!!!!!
Binafsi, je naenda kukutana na nani? Hilò ndio swali namba 1. Swali namba mbili huwa je anajua nini kwenye mitindo na fashion? Basi napenda vitu unique, yaani niwe wa kipekee ndio maana nagharamìa. Hii ndio saa yangu. Usiulize gharama . Nguruwe hawajuagi madini etii!!!!!!
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Jun 10, 2023 #2 Mi nabebaga simu ambayo ina saa ndani yake
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jun 10, 2023 #3 Saa ya nini....? Wakati nna simu..? Huwaga navaa culture kama 3 au 4 mkono wa kushoto
berylyn JF-Expert Member Joined Dec 26, 2021 Posts 877 Reaction score 2,618 Jun 10, 2023 #4 Sivai saa navaa bracelet.
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,160 Reaction score 5,793 Jun 10, 2023 #5 berylyn said: Sivai saa navaa bracelet. Click to expand... Kwann unavaa hio bracelet mkuu
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Jun 10, 2023 #6 sawa
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Jun 10, 2023 #7 Kikubwa wallet tu iliyotimia.
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 5,651 Reaction score 6,966 Jun 19, 2023 #8 Nina saa kama 4 casio. Saa zenye hizo sijui zinaitwa funguo ikiwa zaidi ya moja sivai.
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,250 Reaction score 3,607 Jun 20, 2023 #9 natembea na kasamsung note 10 plus kawallet ka kwenda basi unyama saa sizijui kabisa nimejizoesha kuangalia kwenye simu many time nacheki kwenye simu tu
natembea na kasamsung note 10 plus kawallet ka kwenda basi unyama saa sizijui kabisa nimejizoesha kuangalia kwenye simu many time nacheki kwenye simu tu
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 5,715 Reaction score 13,739 Jun 22, 2023 #10 mtambo huo niliinunua 40000
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 2,929 Reaction score 3,710 Jul 29, 2023 #11 Mwizukulu mgikuru said: View attachment 2664934View attachment 2664934mtambo huo niliinunua 40000 Click to expand... Saa 40000 mkuu??
Mwizukulu mgikuru said: View attachment 2664934View attachment 2664934mtambo huo niliinunua 40000 Click to expand... Saa 40000 mkuu??
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 5,715 Reaction score 13,739 Jul 29, 2023 #12 MLUGURU said: Saa 40000 mkuu?? Click to expand... nyingi au kidogo?