Je, ukiwa na blog yako kuna uwezekano wa kuiendesha kibiashara pia?

Je, ukiwa na blog yako kuna uwezekano wa kuiendesha kibiashara pia?

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Wadau mnao fahamu please, naomba kujua kama umeanzisha blog yako na unaitumia kwa mambo yako, je unaweza kuiendesha kibiashara pia, YAANI richa ya mambo yako je unawezaje kuitumia kujipatia japo kipato kidogo? mfano kupost ADs za wengine zilizo kibiashara nk

Aulizaye anataka kujua!
 
Ishi! Si ndio wafanyavyo wengine wote jamani, inawezekana mdogo wangu
 
Ipilimo. Hilo linawezekana kabisa cha msingi unatakiwa kuzingatia mambo kadhaa wa kadhaa na pia kuwa mbunifu wa kutafata habari zinazo vutia wasomaji wengi ili uweze kupata trafik ya kutosha ambayo ni sawa na mishipa ya damu katika mwili na hii itapelekea hata ads zako kuanza kukuingizia zaidi sana natafuta baadhi ya taarifa kidogo zitazo saidia nini hasa ufanye kwa sasa I wish good luck
 
Wadau mnao fahamu please, naomba kujua kama umeanzisha blog yako na unaitumia kwa mambo yako, je unaweza kuiendesha kibiashara pia, YAANI richa ya mambo yako je unawezaje kuitumia kujipatia japo kipato kidogo? mfano kupost ADs za wengine zilizo kibiashara nk

Aulizaye anataka kujua!

Blog zimekuwa nyingi sana, halafu wana-copy paste from each other lakini still ni jambo rahisi kulifanya na kujipatia fedha kidogo kutokana na ADs mostly za kampuni za simu. Inabidi ujue pia namna ya kujiunganisha nao.

Kama umedhamiria nakushauri uanzishe forum kama hii JF (simaanishi competition kwa jukwaa), naona bado kuna wigo wa kuwa na forum nyingi tu, nchi nyingine forums zipo nyingi sana. Lakini ujue kuna hosting fee (sio hela nyingi though) na pia kununua domain name, sio bure kama google free blogspot account. sio gharama kubwa sana anyways....baada ya muda fualni itakulipa.
 
Back
Top Bottom