Je, uko mkoa wa mbeya au mikoa mingine Tanzania?

Je, uko mkoa wa mbeya au mikoa mingine Tanzania?

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
KAMPUNI YA KIMI DEV. CONSULT LTD, YENYE OFISI ZAKE SOKO LA MAGOLOFANI, BLOCK F.6 MBEYA MJINI : TUNAWEZA KUKUTAFUTIA NA KUKUAGIZIA BIDHAA MBALIMBALI KUTOKA VYANZO HALALI NA VYA UHAKIKA NDANI NA NJE YA TZ. mf: magari, spea za magari, mashine na vifaa vya kielekitronics, VITABU, n.k. TUNAFANYA HIVI SI KWASABABU MTEJA HAWEZI LA HASHA BALI NI KUHAKIKISHA ANAPATA BIDHAA BORA, BEI NZURI, FREE FROM UTAPELI NA PIA KUOKOA MDA WA MAJUKUMU YAKE. KAMPUNI IMESAJILIWA TUNA TARATIBU NZURI ZISIZO NA MASHAKA JUU YA UHALALI NA UAMINIFU KWA WATEJA WETU. GHARAMA NI NAFUU UKILINGANISHA NA GHARAMA AMBAZO UNGETUMIA WEWE HADI KUPATA BIDHAA YAKO. KARIBU OFISINI AU WASILIANA KWA NO. 0754734009 AU 0788285101
 
mkianzisha huduma ya kuwaagizia watu vitu ughaibuni kupitia sijui ebay na paypal ntanwatafuta.
 
TUPO KTK MCHAKATO HUO, KAMPUNI YA EBAY TUMEANZA NAO MCHAKATO WA NAMNA TUTAKAVYO FANYA BIASHARA. SOON TUKICONFIRM TUTAANZA. ILA TUNAWEZA TOA ASSISTANCE KWA KWA WATEJA WANAOTAKA KUJUA AU KUNUNUA BIDHAA ZA NJE mf magari, mashine nk
 
kampuni kimi dev. Consult ltd, yenye ofisi zake soko la magolofani, block f.6 tunawatangazia watu wote kuwa: Tunaweza kukutafutia na kukuagizia bidhaa mbalimbali nje ya mby mf. Dsm: Ambazo hazipo kwa wingi mbeya au hazipo kabisa. Mf. Magari, spea za magari, mashine na vifaa vya kielekitronics, vitabu, n.k. Pia na kwa wale wa nje ya mbeya ila wanataka bidhaa zilizopo mbeya au jirani na mbeya. Kwakuwa ni kampuni na tumesajiliwa tuna taratibu nzuri zisizo na mashaka juu ya uhalali na uaminifu kwa wateja wetu. Okoa wakati, epuka matapeli, pata bidhaa lengwa kwa wakati sisi tukifanya kwa niaba yako. Our company is more than a consulting firm. Gharama ni nafuu ukilinganisha na gharama ambazo ungetumia wewe hadi kupata bidhaa yako. Popote ulipo bidhaa yako itafika. Karibu ofisini au wasiliana kwa no. 0754734009.

shukran sana.

Ila jifunze kuandika vizuri taarifa zenu ili kuitangaza kampuni yako vizuri.

Ukiandika hovyohovyo wateja tunaweza kuhisi kuwa huduma zenu pia ziko hovyohovyo.
 
Mwanzo mzuri,
Matangazo mengi katika blog yatawasaidia kufahamika na wale mtakaowahudumia hatimaye watawatangaza kwa huduma nzuri, Uwaminifu ndiyo nguzo ya huduma yenu.
Ev.Mwa
 
mwanzo mzuri,
matangazo mengi katika blog yatawasaidia kufahamika na wale mtakaowahudumia hatimaye watawatangaza kwa huduma nzuri, uwaminifu ndiyo nguzo ya huduma yenu.
Ev.mwa

asante, ubarikiwe kwa ushauri. Tutasimamia ktk hayo.
 
shukran sana.

Ila jifunze kuandika vizuri taarifa zenu ili kuitangaza kampuni yako vizuri.

Ukiandika hovyohovyo wateja tunaweza kuhisi kuwa huduma zenu pia ziko hovyohovyo.

asante kwa ushauri, tutazingatia. Stay informed
 
Back
Top Bottom