Je Uko Tayari Kufanyiwa Masaji na Tembo? Tembo akimfanyia mtu Masaji

Je Uko Tayari Kufanyiwa Masaji na Tembo? Tembo akimfanyia mtu Masaji

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">Je Uko Tayari Kufanyiwa Masaji na Tembo?</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
3744178.jpg

Tembo akimfanyia mtu Masaji</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Monday, December 14, 2009 1:09 AM
Je uko tayari kulala chini kama jamaa huyu kwenye picha hapo juu na kufanyiwa masaji na tembo ambaye amefundishwa kuwafanyia watu masaji kwa kuwakandamiza pole pole kwa mguu wake.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Tembo huyu wa nchini Thailand mwenye uzito wa tani tatu amefundishwa kuwafanyia watu masaji kwa kuwakandamiza watu pole pole kwenye viungo vyao kwa kutumia mguu wake.

Tembo huyo amepewa mafunzo na mlezi wake kuwafanyia watu masaji kwenye bustani ya wanyama katika mji wa Chiang Mai nchini Thailand.

Watu wenye ujasiri ambao hawahofii kupoteza maisha yao kwa kukanyagwa na tembo huyo, wanakaribishwa kwenye bustani hiyo kufanyiwa masaji.

Haya kina Ubuguvu, Moms016, King, Kipara, Bhai, Nautikasi na wadau wengine wa Nifahamishe mnakaribishwa kwenye bustani hii ya wanyama kufanyiwa Full Massage ya miili yenu na tembo kama mna ujasiri huo.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3744178&&Cat=2

</td></tr></tbody></table>
 
What do I want to prove by sleeping down waiting for tembo to massage me?
 
What do I want to prove by sleeping down waiting for tembo to massage me?
haha,mambo ya kawaida sana hayou huku tulipo,ukichoka siku za weekend unaenda kupata hiyo elephant massage,nishafanyiwa hiyo,it's very cool...and for a woman it's very very romantic because he(elephant)knows very well how to handle the back of a woman and going up through the neck...
 
Thanks but no, hata tembo ana moods, kama ameamka vibaya siku hiyo?
 
Back
Top Bottom