Je uko tayari?

Kuna kinginine kinaitwa The Capitalist Nigger. Kinaongelea the spider-web doctrine
 
LAZYDOG, hebu nifanyie msaada nipate online kitabu cha RETIRE YOUNG RETIRE RICH!! cha kiyosaki tafadhali. naomba link kama uliyotoa ya hapo juu
Kama ulipata wasifu wa yule aliyechezesha world cup Africa Kusini,basi utaungana na kitabu hiki. Yule refa alikuwa polisi na akastaafu uofisa wa polisi akiwa na miaka 39 tu, na sasa anakula kuku huku akifanya kazi aipendayo ya kuongoza burudani. Hapa kwetu ktk umri huo ndio tunakazana kuandika barua za maombi ya kazi na kubadirisha umri kila siku ili tuonekane vijana, mweee, ulofa si mzuri.
 
Mkuu kuna namna tunaweza pata hii CD ya Siri za Eric Shigongo"" kama vile kuitupia humu hii CD?

 
LAZYDOG, hebu nifanyie msaada nipate online kitabu cha RETIRE YOUNG RETIRE RICH!! cha kiyosaki tafadhali. naomba link kama uliyotoa ya hapo juu
Nimekosa PDF. Hii iko kwenye AUDIO format, size [143 MB]
http://depositfiles.com/en/files/0cpcluap7
OR
Download Retire.Young.Rich.rar for free on Filesonic.com
OR
Download Retire.Young.Rich.rar for free on uploading.com


Rich Dad's Retire Young, Retire Rich : How to Get Rich Quickly and Stay Rich Forever! (Audiobook) By Robert T. Kiyosaki, Sharon L. Lechter, Jim Ward
ISBN: 1586212567
 
Mkuu kuna namna tunaweza pata hii CD ya Siri za Eric Shigongo"" kama vile kuitupia humu hii CD?
Tunahitaji kushawishi utengenezwaji wa materials zaidi toka kwa wabongo wenzetu kwa kununua kazi zao. Kudondosha CD ya Shingongo humu itakuwa ni kwenda kinyume na nia tajwa.
 
Thread kama hizi ndio mtu mwenye akili anaona manufaa yake.

Kuna mwandishi mmoja maaruf sana na amefanya kazi nyingi mpaka microsoft especially employer wake na makampuni mengine makubwa.

Jamaa mwenyewe anaitwa Robin Sharma kama sikosei alikuja Dar mwaka jana na alifanya presentation na kuuza vitabu. Katika vitabu vyake navifahamu vichache Kama The Monk who sold his Ferrari na venginevyo lakini kwa bahati mbaya sijafanikiwa kukipata hata kimoja zaidi ya dondoo anazozitoa free. Website yake ni Robinsharma > Homepage

Kwa kweli nina imani kama unapata vitabu vya huyu jamaa mentality approach yako lazima ibadilike.
 

MEGAUPLOAD - The leading online storage and file delivery service
OR
Download cor33r34565565.rar for free on uploading.com

The Monk Who Sold His Ferrari : A Spiritual Fable about Fulfilling Your Dreams and Reaching Your Destiny
Robin S. Sharma
ISBN: 0006385125
Format: PDF
 
hiki cha audio kikoje,ni kama motivational tape,au kinasomwa page mpaka page,kwa aliyekisikia anijuve

Not page by page, ila ni MP3s. Unaweza weka kwenye simu unasikiliza kama mziki.
Notice the file size, it is rather big.
 
There you go malila. Mtu ukiwa na swali tafadhali niulize, swali lolote ni bora kuliko hakuna swali. Naomba uni PM au piga simu 323-293-3071 Wabunifu USA. pia babalao nadhani akiwa na nafasi anaweza kusaidia sana kwenye mawazo yenu.

shukrani sana,watu mko makini kweli kweli mmeshainterprete.Pia kuna kipya katoa Kiyosaki tena kinaitwa BUSINESS OF 21ST CENTURY, kiko makini sana kwani kazungumzia mambo ya network marketing.Nina idea kidogo ya network marketing na ningependa kupata watu ambao wamewahi kupractise hiyo idea kwa hapa bongo tupate kujuzana zaidi.
 
Malila;1269022]Hivi vitabu vinasaidia sana, hicho cha Four quadrants sijakiona. Kuna fursa nyingi sana, kuna mmoja anasema, dhahabu iko kila mahali, tatizo watu hawajafundishwa namna ya kuitambua dhahabu iliyo ktk mazingira yake.

Pale Bongo naweza pata wapi hicho kitabu cha Four Quadrants mkuu?
Have a nice day.[/QUOTE]

Walmart nilikiona kama una mtu anaweza fika pale akakununulie, na hata ukiingia online shopping-Amazon.com wanaviuza bei nafuu ila hapa nyumbani sijaviona kwenye maduka yetu ya vitabu
 
Not page by page, ila ni MP3s. Unaweza weka kwenye simu unasikiliza kama mziki.
Notice the file size, it is rather big.

Sorry lazydog, ile link ya kitabu cha why we want you to be rich kwangu imegoma. je kuna alternative means unayoweza kuitumia ili nikipate say kama kutuma kama attachment may be. Natanguliza shukurani.
 
Sorry lazydog, ile link ya kitabu cha why we want you to be rich kwangu imegoma. je kuna alternative means unayoweza kuitumia ili nikipate say kama kutuma kama attachment may be. Natanguliza shukurani.
Unazungumzia post namba 20?
Hapana, sina links mbadala. Jaribu link ya pili niliyoweka pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…