Je, ukuaji wa Uchumi wa Tanzania ni wa karatasi tu au wa uhalisia?

Je, ukuaji wa Uchumi wa Tanzania ni wa karatasi tu au wa uhalisia?

Tomito Tomato

Senior Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
167
Reaction score
444
Kila siku nimekuwa nikiona Wachumi wetu kadhaa wakisema huku wakituonyesha kupitia data kuwa Uchumi wa Tanzania umekuwa lakini nikiangalia maisha halisi ya Mtanzania hayahakisi kile kinachohubiriwa.

Hii imekaaje?
 
Back
Top Bottom