mnyalukolokwetu
Senior Member
- Jan 10, 2016
- 156
- 40
Wadau naomben msaada wa swali hili je ni kwel mama mjamzito akila sana muwa wakati wa ujauzito wake atapata uchungu mkali sana tena wa muda mrefu wakati wa kujifingua karibuni kwa mchango wa majibu