mnyalukolokwetu Senior Member Joined Jan 10, 2016 Posts 156 Reaction score 40 Apr 3, 2016 #1 Wadau naomben msaada wa swali hili je ni kwel mama mjamzito akila sana muwa wakati wa ujauzito wake atapata uchungu mkali sana tena wa muda mrefu wakati wa kujifingua karibuni kwa mchango wa majibu
Wadau naomben msaada wa swali hili je ni kwel mama mjamzito akila sana muwa wakati wa ujauzito wake atapata uchungu mkali sana tena wa muda mrefu wakati wa kujifingua karibuni kwa mchango wa majibu
sakobanja Member Joined Dec 28, 2015 Posts 26 Reaction score 5 Apr 4, 2016 #2 Hebu watalaamu wa hili mtujuze