Je ulifaham kubinafsishwa kwa Ziwa Victoria wakati wa Uongozi wa RaisMkapa na Sumaye?

Je ulifaham kubinafsishwa kwa Ziwa Victoria wakati wa Uongozi wa RaisMkapa na Sumaye?

blogger94

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
25
Reaction score
1
Je ulifaham kuwa Ziwa Victoria linebinafsishwa kwa Wazungu kwa muda wa takribani miaka 77 basi kama hukufaham hyo ndo historia fupi sasa je una maoni gani kuhusu jambo hili ambalo lingefanyika enzi za utawala wa Rais Benjamini William Mkapa na Waziri Mkuu Fredrick Truwai Sumaye changia pamoja nami......
 
Kwa hiyo Wahaya, Wasukuma na wakerewe wakitaka kuoga inabidi walipie na vipi kama wanatafuta mboga humo ziwani hali inakuwaje? Na wakazi wa visiwa vya kome wakitaka kwenda Mwanza wanalipia kupita juu ya hayo maji? Fafanua mkuu, hoja hii inaweza kuwapandisha presha CCM na kuwafanya wenyeji kuingia msituni bure kama ilivyo Msimbati.
 
Hiyo siasa niliisikia nilipokuwa musoma kwenye kampeni mwaka 2000
 
Namaanisha kuwa watu hawa wawili walikuwa wanampango wa kubinafsisha Ziwa Kwa kipindi kile bado wako madarakani sasa sijui walikuwa na mpango gani miaka 77 na sisi wakazi wa kanda ya ziwa sasa je unahisi leo tungekuwa wapi sijui
 
So long as haikufanyika, basi tuwapuuze tu!
 
Ndugu yangu mbona sijakuelewa?
Hizo Data zipo wapi za kulibinafsisha ziwa hilo
Mm najua lilikuwa linaitwa NYANZA kabla Wajerumani hawajampa Quuen Victoria zawadi ya birthday kwa kubadilishana na mlima kilimanjaro
Sasa wewe fafanua
 
Nashindwa kuchangia maana hoja yako bado haujaithibitisha . Hivyo naiona kama vile kuweweseka ndotoni au hisia zako au una bifu na hao jamaa . Tunaomba ufafanuzi zaidi au ukae kimya
 
Ndugu yangu mbona sijakuelewa?
Hizo Data zipo wapi za kulibinafsisha ziwa hilo
Mm najua lilikuwa linaitwa NYANZA kabla Wajerumani hawajampa Quuen Victoria zawadi ya birthday kwa kubadilishana na mlima kilimanjaro
Sasa wewe fafanua

wewe ndo umenichanganya kabisa
 
Wagiriki wana miliki ya hilo ziwa na ndo maana kupatikana kwa vitoweo na mapato kwa waliolitegemea ziwa limekuwa tatizo na badala yake limechochea ukuaji na ustawi wa umaskini katika maeneo hayo. Na mpaka leo hawa wahanga hawajapatiwa miradi mingine mbadala ya kuwapatia kipato na kuendelea na maisha yao, watu wamekuwa maskini wa kutupa huku wakiuziwa vichwa vya samaki kama vitoeo.
 
kila kinachopigiwa kelele sasa hivi ni matokeo ya yule babu mkapa
 
Kwa hiyo Wahaya, Wasukuma na wakerewe wakitaka kuoga inabidi walipie na vipi kama wanatafuta mboga humo ziwani hali inakuwaje? Na wakazi wa visiwa vya kome wakitaka kwenda Mwanza wanalipia kupita juu ya hayo maji? Fafanua mkuu, hoja hii inaweza kuwapandisha presha CCM na kuwafanya wenyeji kuingia msituni bure kama ilivyo Msimbati.

Hivi huwezi kutaja mikoa badala ya makabila??? maana sio hayo makabila peke yake wanaooga maji ya Victoria..
 
Back
Top Bottom