Je ulifaham kuwa Ziwa Victoria linebinafsishwa kwa Wazungu kwa muda wa takribani miaka 77 basi kama hukufaham hyo ndo historia fupi sasa je una maoni gani kuhusu jambo hili ambalo lingefanyika enzi za utawala wa Rais Benjamini William Mkapa na Waziri Mkuu Fredrick Truwai Sumaye changia pamoja nami......
Ndugu yangu mbona sijakuelewa?
Hizo Data zipo wapi za kulibinafsisha ziwa hilo
Mm najua lilikuwa linaitwa NYANZA kabla Wajerumani hawajampa Quuen Victoria zawadi ya birthday kwa kubadilishana na mlima kilimanjaro
Sasa wewe fafanua
Kwa hiyo Wahaya, Wasukuma na wakerewe wakitaka kuoga inabidi walipie na vipi kama wanatafuta mboga humo ziwani hali inakuwaje? Na wakazi wa visiwa vya kome wakitaka kwenda Mwanza wanalipia kupita juu ya hayo maji? Fafanua mkuu, hoja hii inaweza kuwapandisha presha CCM na kuwafanya wenyeji kuingia msituni bure kama ilivyo Msimbati.