Watu wengi hasa vijana walioko mashuleni na vyuoni wamekuwa na matarajio mengi yaliyo finyu ktk mahusiano wengine wakidhani kwamba akimaliza masoma bila kuwa na mke aliyesoma nae anajiona amepotea/kachelewa.
Je, wewe mwana jf ulikutana na mke/mpenzi wako wapi na ilikuwajd?
katika business zake, nilikuwa mteja wake! He is an archtect hivyo nilienda kuchora ramani jamaa akanifia nami nikaoza.... mambo yakaanza!
Masikiniiiii Lizzy hana mpenzi... 🙁 hahahahaNowhere!!!!