Je, ulikuwa unafahamu kwamba Azam ndo timu iliyopika wachezaji wengi waliopo timu ya taifa?

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Niwapongeze wamiliki wa timu ya azam japo bado wanasafari ndefu ya kwenda ila ndo timu iliyopika wachezaji wengi walipo taifa stars. Mimi sio mjuvi sana wa mpira ila kama kuna mchezaji nimemusaau mtamuongeza kwenye list.
1.Aishi manura
2.Gadiel michel mbaga
3.Erasto nyoni
4.Aggrey Morris ambross
5.Faridi Mussa
6.Shabani Idd Chilunda
7.John Rafel Bokko
8.Immid Mao Mukami

Alafu fahamu kama sio majelaa kapombe angeitwa. Nakwenye hyo list ukimtoa Shabani chiluda waliobaki wameenza kwenye mechi zidi ya uganda. Kweli mpira ni uwekezaji.
 
shabiki wa azam katika ubora wake

thanks to god the almighty
 
Erasto Nyoni ni rolling stone ya Arusha vitalo ya Burundi theme Azam na azam ameenda akiwa anacheza national team
Aggrey Morris naye ni kaanza national team akitokea team moja ya Zanzibar kama siyo Miembeni ni KMKM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapombe alianzia kikosi cha Simba B baadae akapandishwa 2011 then 2012 akaenda Rens ya ufaransa akashindwa kuperform akasajiliwa Azam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erasto Nyoni hajapikwa na Azam bali alihudumu kama mchezaji kwa kipindi flani...

Sent using Jamii Forums mobile app
afazali ww umeliweka sawa maana kuna watu wanapotosha ..Nyoni alitokea academy moja iv ilikuwepo Arusha kule then akaenda kucheza soka nchi ya Burundi ndipo maximo alipo muona na kuitwa ktk taifa stars iliyo ipiga Borkina faso goli moja na Nyoni ndio alipiga lile goli then ndio akajiunga na Azam
 
Nakuelewa sana ila ulianza kumjuwa nyoni akiwa wapi?
 
Maximo alimuona Nyoni wapi wakati hata Burundi hakuwahi kufika?
Kilichotokea ni kwamba Maximo alihitaji majina ya wachezaji wote wanaocheza nje hata kama Madagascar.
Ndo maana waliitwa kina Njohole,Yule kipa alikuwa Mozambique.
Erasto aliitwaga na Salvatory Entebe walikua wote huko Burundi.
Toka hapo hakuwahi kutemwa hadi mechi na cape Verde kwao .
 
kuna mashindano ya kagame yalifanyikaga bongo
 
Nakuelewa sana ila ulianza kumjuwa nyoni akiwa wapi?
binafsi nilimaiki KIPINDI CHA MICHUANO YA KAGAME ILIFANYIKAGA BONGO ENZI ZILE ZA KOCHA MAXIMO ila umaarufu wake ulipaa baada ya kupiga lile goli dhidi ya borkinabe .....
 
Kwa muktadha huo hata Chirwa na Ngoma wanapikwa Azam kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…