Je, Ulikuwa Unatafuta Jiko Kwa Mahitaji Makubwa Ya Kupika

Je, Ulikuwa Unatafuta Jiko Kwa Mahitaji Makubwa Ya Kupika

Joined
Aug 28, 2024
Posts
9
Reaction score
22
Nani Mwingine Anahitaji Jiko la Kisasa kwa Mahitaji Makubwa ya Kupika?"

Je ulikuwa unatafuta jiko kwa mahitaji makubwa ya kupika?

Kampuni ya jiko bomba sasa wamekuja na suluhu la majiko ya kupikia,

Katika taasisi mbalimbali zenye kuhudumia watu wengi

Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula Mpaka 50kg Kwa Wakati Mmoja

Lina tumia mkaa wa briquettes 5kg kuivisha kilo 50 za chakula

Lina Mfumo Wa Feni Ya Kisasa - Hakuna Tena Moto Wa Kusuasua!

Jiko Hili Lina Feni Inayo Endeshwa Kwa Umeme Wa Sola ( Dc 12V )

Kuhakikisha Joto Thabiti Na Ufanisi Mkubwa Wa Kupikia


Linakuja Na Sufuria & Mifuniko Yake Pamoja Na Solar Yake


Limeidhinishwa Na Wataalamu! Jiko Hili Tayari Linatumika Kwenye Taasisi Kubwa Kama

1. Magereza Ya Ludewa,

2. Shirika La Madini La Taifa ( Stamico ),

3. Shule Ya Algebra,

4. Duce Na Miradi Mingine Mikubwa ...

Hili Siyo Jaribio Ni Suluhisho Lililothibitishwa

Pata Jiko Lako Leo!


Gharama Ya Jiko Hili Ni 2,250,000 Tshs

Kwa Dar Es Salaam Ofisi Ipo Mbezi Luis

Save Namba Hii 0626 75 25 01, Kwa Jina Jiko Bomba, Ili Kuona Majiko Yetu Mengine Mengi
 

Attachments

  • IMG-20250302-WA0017.jpg
    IMG-20250302-WA0017.jpg
    1.8 MB · Views: 1
Back
Top Bottom