mr josemaro
Member
- Aug 14, 2019
- 34
- 8
Ulikuwa unajua asilimia 41% ya wanaume Tanzania huwahi kumwaga ?
Kumwaga nini ?
Ni hatua ya mwanaume kurusha nje shahawa (Mani) yake hiyo ndio maana ya "kumwaga".
Kuna aina mbili za kumwaga :
(a). Kuchelewa kumwaga .
Ni kundi la wanaume wenye uwezo wa kusimamisha kwa zaidi ya masaa mawili hadi saba (2-7).
(b). Kuwahi kumwaga.
Ni kundi la wanaume wenye uwezo mdogo wa kusimamisha inakadiliwa kati ya dakika 15-40 huwa wamekwisha mwaga na hata wengine kushindwa kuendelea na mchezo tena maana huanza kusinyaa.
Ila ulikuwa unajua kuwa kwa siku 15 hali hii inaweza pona kabisa au kuleta mabadiliko kutokana na hali hii :
MAANDALIZI :
- Ndizi (2)
- Tikiti maji (½)
- Tangawizi (10½gm)
- Limao (5)
Osha mahitaji yote hapo juu kwa maji safi na salama.
*Menya maganda ya juu ya ndizi na tangawizi.
*Chukua Brander visage kwa pamoja kupata mchanganyiko laini kabisa.
Wito kwa wanawake ambao wanajua waume/wapenzi wenu huwahi kukojoa mtegeneze juice hii matokeo utayaona.
%kunywa kwa siku 15 tu, Usisahau kuja kunishukru plz%